mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Hii timu inaonekana Mashabiki wake wote ni wanawake Maana Kila shabiki wa timu hii anajua mipasho utafikiri Hadja Kopa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KolooooooooNi wakati wenu, tambeni muwezavyo lakini mkumbuke kuimba ni kupokezana, msije sema hatukuwaambia
Muha Sibu aka Chawa wa MwamediParedi bongooooooo?! 😡😡😡
5imba mipango yao ilikuwa zaidi kuwategemea binadamu wakatili Kayafa Jiwe na Bashite,sisi Yanga tunamtegemea Mungu na mipango thabiti ya kisasa.Simba walisema watapiga 10 wakaishia4, nyie ndio kwanza mko msimu wa tatu kelele kibao
Sisi sio SimbaSimba walisema watapiga 10 wakaishia4, nyie ndio kwanza mko msimu wa tatu kelele kibao
Hasibu kama hasibuParedi bongooooooo?! [emoji35][emoji35][emoji35]
🤪🤪🤪Paredi bongooooooo?! 😡😡😡
Mungu gani huyo aliyeshindwa kuwasaidia kule south? Au mnamtegemea mkiwa tz tu?5imba mipango yao ilikuwa zaidi kuwategemea binadamu wakatili Kayafa Jiwe na Bashite,sisi Yanga tunamtegemea Mungu na mipango thabiti ya kisasa.