hahaha nyama sili ila mchuzi wake nakunywa.Kuanzia leo sinunui kazi zake tena, na nilizonazo naenda kuchoma moto....!
FaizaFoxyYule nguli wa muziki kutoka mji kasoro bahari, Mfalme pekee wa rhymes, anayependa kujiita simba dume, Selemani Msindi au Afande Sele ameama kuachana na uisilamu na sasa Mungu wake ni jua
Amedai baada ya kufikiria muda mrefu ameona aimwabudu mungu ambaye hamwoni wala hajawi ku experience uwepo wake, na kwamba ameona kwa kua Jua ndio chanzo cha kila kitu kuanzia chakula, pia jua lipo kila mahali basi hilo ndio litakuwa Mungu,
pia amesema ameacha wosia kuwa atakapoufa achomwe moto
msikilize hapa kwa undani zaidi
https://www.facebook.com/
Well said brotherDini ya ukweli duniani ni UPENDO....haya yote mengine ni mbwembwe tu na kila mtu ana uhuru wa kuabudu chochote.
Ukimpenda mwenzako hutomuua, hutomuibia, hutomwambia uwongo, hutozini naye n.k.
Wengi tumejificha nyuma ya kivuli cha dini tunazoziamini kwa kudhani kuwa ndio tiketi ya kutenda mapenzi ya Mwenyezi Mungu.
Kuna faida gani kuishi na jirani anayefikiri wewe ni adui kwa kuwa tu hufuati dini anayoiamini yeye?
Dunia/nchi imejaa Majambazi, Wazinzi, Waongo, Wachoyo, Wauaji, Mafisadi n.k....na wote wanatokea huko huko kwenye dini tunazoziamini.
Hata kama Afande ataabudu jua lakini kama bado atakosa UPENDO wa kweli, bado hatokuwa na tofauti yoyote na wenye imani wengine.
Napata shaka kwenye hiyo dhana yako kuwa jua halitawaka milele.Mkuu jua haliwaki milele,jua ni nyota na nyota ni mkusanyiko wa superheated gases na all the time zina evaporate taratibu na mwisho wa siku gesi zote zitaisha.hii ni according to thermal dynamics law.
Ha ha ha, ngoja niku connect na wakina kahtaan, big showAna Uhuru huo, kule wanachinjana sana na kujilipua
Hiyo dini wanaita COSMO, wanaabudu jua, rafiki yangu wa karibu anaimani hiyo, tena ana strong point za kudefend dini yake.
Napata shaka kwenye hiyo dhana yako kuwa jua halitawaka milele.
Usije ukaenda na wewe huko mpendwaHiyo dini wanaita COSMO, wanaabudu jua, rafiki yangu wa karibu anaimani hiyo, tena ana strong point za kudefend dini yake.
Usije ukaenda na wewe huko mpendwa
ulishaanza kushawishika!?,Mungu yupo mpendwaNdiko mzee aliko huko, alivyoanza kunieleza ilikuwa inanichanganya but it make sence some how.
ulishaanza kushawishika!?,Mungu yupo mpendwa
ulishaanza kushawishika!?,Mungu yupo mpendwa
Wala vumbi hatuwezi kukubali..,uncle ataabudu kama wajomba zake.Na mtoto akipatikana uncle Cognition atabidi aje juani kwenye ubatizoππππ