Afande Sele aachana na Uislamu, sasa anaabudu Jua!

Ana Uhuru huo, kule wanachinjana sana na kujilipua
Amechanganywa Na Ma CCM si alikua anagombea Ubungo? Alizunguka kwenye kampeni Kwa dau kubwa, alifikiri Christmas is forever? Stupid man anaisoma namba Mwenzie prof J yuko mahali sahihi Na chama sahihi Na watu sahihi, hakuna cha Jua wala mwezi, Tena shukuru uko Tz hao wenzako uliokua nao wasije kukulima kwa kusema huko ukikotoka hakutoshi
 
Yule nguli wa muziki kutoka mji kasoro bahari, Mfalme pekee wa rhymes, anayependa kujiita simba dume, Selemani Msindi au Afande Sele ameama kuachana na uisilamu na sasa Mungu wake ni jua
Amedai baada ya kufikiria muda mrefu ameona aimwabudu mungu ambaye hamwoni wala hajawi ku experience uwepo wake, na kwamba ameona kwa kua Jua ndio chanzo cha kila kitu kuanzia chakula na bidhaa zote pamoja na teknolojia hutegemea jua ambalo ndio moto, kwenye uzalishaji wake au uendeshwaji wake, pia jua lipo kila mahali basi hilo ndio litakuwa Mungu,
pia amesema ameacha wosia kuwa atakapoufa achomwe moto
msikilize hapa kwa undani zaidi

Ha ha ha, Wahindi wekundu wame tuharibia watu kwa kugundua ule mmea dah! huyu jamaa alianza na kusaula jukwaani sasa ana panda ngazi kila uchao,hizi ni imani za kale za Wahindi wa Peru (Aztec) ambao nao walikuwa wana tumia hilo jani kuliko mbuzi na jua lilikuwa Mungu wao,sasa kama kuabudu jua ni mwelekeo wa kila anaye litumia itakuwa ni shughuli.
 
Mbona huyo jamaa aliachana na uislam siku nyingi baada ya kufunga ndoa na mke wake!
 
I sawa this coming, kwa waliokuwa wanamfuatulia au kumjua Sele personally sio habari kwao, matter of fact aliacha uislam zamani Ni hivi punde tu ndiyo katangaza hadharani.

Ni muelewa sana Sele na ni great thinker. Hayo ni maamuzi yake na yaheshimiwe.
 
Yule nguli wa muziki kutoka mji kasoro bahari, Mfalme pekee wa rhymes, anayependa kujiita simba dume, Selemani Msindi au Afande Sele ameama kuachana na uisilamu na sasa Mungu wake ni jua
Amedai baada ya kufikiria muda mrefu ameona aimwabudu mungu ambaye hamwoni wala hajawi ku experience uwepo wake, na kwamba ameona kwa kua Jua ndio chanzo cha kila kitu kuanzia chakula na bidhaa zote pamoja na teknolojia hutegemea jua ambalo ndio moto, kwenye uzalishaji wake au uendeshwaji wake, pia jua lipo kila mahali basi hilo ndio litakuwa Mungu,
pia amesema ameacha wosia kuwa atakapoufa achomwe moto
msikilize hapa kwa undani zaidi

Anaogopa kufa huyu, after all who is selemani? of what use value to masses of tanzania
 
I sawa this coming, kwa waliokuwa wanamfuatulia au kumjua Sele personally sio habari kwao, matter of fact aliacha uislam zamani Ni hivi punde tu ndiyo katangaza hadharani.

Ni muelewa sana Sele na ni great thinker. Hayo ni maamuzi yake na yaheshimiwe.
afande sele afadhali yeye amejaribu kukaa chini aka reason, sio hawa wengine vitabu vyao vimejaa contradiction kibao ukiwauliza majibu yao wanakupa blah blah tu

mwingine ukimuuliza anakujibu ukitafakari unakosea, hutakiwi utafakari bali ukariri
 
Yule nguli wa muziki kutoka mji kasoro bahari, Mfalme pekee wa rhymes, anayependa kujiita simba dume, Selemani Msindi au Afande Sele ameama kuachana na uisilamu na sasa Mungu wake ni jua
Amedai baada ya kufikiria muda mrefu ameona aimwabudu mungu ambaye hamwoni wala hajawi ku experience uwepo wake, na kwamba ameona kwa kua Jua ndio chanzo cha kila kitu kuanzia chakula na bidhaa zote pamoja na teknolojia hutegemea jua ambalo ndio moto, kwenye uzalishaji wake au uendeshwaji wake, pia jua lipo kila mahali basi hilo ndio litakuwa Mungu,
pia amesema ameacha wosia kuwa atakapoufa achomwe moto
msikilize hapa kwa undani zaidi

Bange mbaya sana
 
Afande Sele, hongera kwa kuwa na ''fikra huru'' kwa kujiuliza tena na tena kuhusu ''imani''.

Afande Sele umetumia elimu elimu kukusaidia kuwa huru kifikra kujiuliza masuala magumu bila kufuata upepo bali kwa kujiridhisha kwa kutumia akili ya maswali na majibu.
 
Chezea bhangi wewe, kuna jamaa yangu wakati tukiwa shule ya Sekondari Day tunaishi nyumba ya kupanga, sasa siku moja week'nd tumnatembea njiani tukawa tunaona ananyanyua miguu kwenda juu sana, tukimuuliza mbona unatembea hivyo, anasema hakuna kitu, kesho yake akatwambia alienda kwa mzee fulani ambaye alikuwa jirani na nyumba tuliyokuwa tunaishi, akavuta bhangi ya kibuyu ambayo inawekewa maji, mchanga na inavutwa kwa mrija sasa wakati anatembea akawa anona kama barabara ina mabonde mabonde.
 
ubunifu katika maisha ni kitu cha msingi sana. moro wangempa ubunge wangeabudu jua wote
 
Back
Top Bottom