IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
Wewe hata haujielewi mkuu,...huyu Mungu unayemsema umewahi muona...kwa jinsi ninavyojua Mungu ni subjective i,e anaweza kuwa Ng'ombe,Mti,Binadamu,Mlima,Jua,ama kitu kisichoonekana chochote kutegemeana na muamini.Kama anajua Mungu yupo kwanini aabudu jua wakati MUNGU aliyetuumba tumuabudu yupo,.....?
kuabudu nje ya MUNGU maana yake ni kuamini kuwa hakuna MUNGU,....kama nawewe ni muabudu jua,...
badilika,./uache kiburi cha uzima
Sasas unavyolazimisha eti waabudu Mungu-sijui ni Mungu yupi huyo unam-refer mkuu....jifunze kutumia akili zako kupambanua mambo kwa kina sio unakariri tu.
Duniani kuna dini zaidi ya 500 na zote zinaaamini Mungu wao ndio sahihi zaidi ya wa wengine....japo wewe kwa uelewa wako/ulimwengu wako kuna dini mbili tu za ukristo na usilam.....aaaaaaggrrrrrrrrh