Afande Sele aachana na Uislamu, sasa anaabudu Jua!

Afande Sele aachana na Uislamu, sasa anaabudu Jua!

Kama anajua Mungu yupo kwanini aabudu jua wakati MUNGU aliyetuumba tumuabudu yupo,.....?
kuabudu nje ya MUNGU maana yake ni kuamini kuwa hakuna MUNGU,....kama nawewe ni muabudu jua,...
badilika,./uache kiburi cha uzima
Wewe hata haujielewi mkuu,...huyu Mungu unayemsema umewahi muona...kwa jinsi ninavyojua Mungu ni subjective i,e anaweza kuwa Ng'ombe,Mti,Binadamu,Mlima,Jua,ama kitu kisichoonekana chochote kutegemeana na muamini.
Sasas unavyolazimisha eti waabudu Mungu-sijui ni Mungu yupi huyo unam-refer mkuu....jifunze kutumia akili zako kupambanua mambo kwa kina sio unakariri tu.

Duniani kuna dini zaidi ya 500 na zote zinaaamini Mungu wao ndio sahihi zaidi ya wa wengine....japo wewe kwa uelewa wako/ulimwengu wako kuna dini mbili tu za ukristo na usilam.....aaaaaaggrrrrrrrrh
 
aya sawa,.......endelea na mawazo yako hayo
ila hao miungu wako500 ni wako,......
MUNGU baba ni mmoja tu
YAHWE,..Na YESU mwanawe wa pekee
 
sawa,.ila Huwez kuabudu jua kama uko timamu kiakili,.....
kma nawewe ni muabudu jua,badilika mkuu
nani aliyeliumba hilo jua????????ni Mungu mwenyewe
nyi hangaikeni tu simnajua mtaishi milele
kuabudu jua, au mungu au whatever zote ni imani, unajua maana ya imani mkuu?
sasa unapomuita mwenzako mpumbavu kisa ametofautiana na wewe kiimani nashindwa kukuelewa
 
Kama anajua Mungu yupo kwanini aabudu jua wakati MUNGU aliyetuumba tumuabudu yupo,.....?
kuabudu nje ya MUNGU maana yake ni kuamini kuwa hakuna MUNGU,....kama nawewe ni muabudu jua,...
badilika,./uache kiburi cha uzima

Wewe utakuwa mlokole bila shaka,..maake mawazo yenu ndio huishia hapo....Mungu ni jina-linaweza kuwa Jua,Mlima,Mti,Ng'ombe etc.

Anyway-hebu jumapili kamuulize mchungaji wako kuhusu hili then utuletee majibu,...maake walokole wengi akilizenu mmeweka rehani kwa wachungaji,mitume mara sijui manabii na kamwe hamtaki kushughulisha bongo zenu na ndio maana kina Kibwetere wanawachoma moto...aaaagggrrrrrrrrh
 
aya sawa,.......endelea na mawazo yako hayo
ila hao miungu wako500 ni wako,......
MUNGU baba ni mmoja tu
YAHWE,..Na YESU mwanawe wa pekee
Walokole ni wavivu wa kufikiri ndio maana mko hivyo mlivyo...!!!!!!!!!1
 
kuabudu jua, au mungu au whatever zote ni imani, unajua maana ya imani mkuu?
sasa unapomuita mwenzako mpumbavu kisa ametofautiana na wewe kiimani nashindwa kukuelewa

Mkuu-walokole na wavaa visuruali vifupi ndio wanaharibu hii dunia...na hasa huku Africa....watu wa hovyo sana
 
aya sawa,.......endelea na mawazo yako hayo
ila hao miungu wako500 ni wako,......
MUNGU baba ni mmoja tu
YAHWE,..Na YESU mwanawe wa pekee
Na Mungu wa waislam anaitwa nani vile,...?....au naye ni fake.....mmmmmh

Akili za kilokole hizi....loh
 
Kama anajua Mungu yupo kwanini aabudu jua wakati MUNGU aliyetuumba tumuabudu yupo,.....?
kuabudu nje ya MUNGU maana yake ni kuamini kuwa hakuna MUNGU,....kama nawewe ni muabudu jua,...
badilika,./uache kiburi cha uzima
swala la mungu kuwepo au kutokuwepo ni masuala arguable, ambayo kuna nyuzi zake nyingi tu hapa jf, na kuwa na imani fulani haimaanishi wewe ndie mjuaji kuliko yule, unayejua ku reason kuliko wengine, so ni bora ukaheshimu imani za wengine na ukazipinga kwa hoja kuliko kutukana
 
Hizi bangi na unga wa kina chidi benz sio mchezo, movie bado inaendelea, tutaskia mengi sana huu ni mwanzo tu!
 
View attachment 344065

Yule nguli wa muziki kutoka mji kasoro bahari, Mfalme pekee wa rhymes, anayependa kujiita simba dume, Selemani Msindi au Afande Sele ameama kuachana na uisilamu na sasa Mungu wake ni jua

Amedai baada ya kufikiria muda mrefu ameona aimwabudu mungu ambaye hamwoni wala hajawi ku experience uwepo wake, na kwamba ameona kwa kua Jua ndio chanzo cha kila kitu kuanzia chakula na bidhaa zote pamoja na teknolojia hutegemea jua ambalo ndio moto, kwenye uzalishaji wake au uendeshwaji wake, pia jua lipo kila mahali basi hilo ndio litakuwa Mungu,
pia amesema ameacha wosia kuwa atakapoufa achomwe moto
msikilize hapa kwa undani zaidi

Hii ni faida ya matumizi makubwa ya 'BANGIZI' aendelee na starehe zake tu na asipokuwa makini ataweza tembea utupu huku yeye akidhani amepiga viwalo vya hali ya juu
 
Kuanzia leo sinunui kazi zake tena, na nilizonazo naenda kuchoma moto....!
wewe ulinunua kazi zake kwa kuzipenda ama kwa dini yake? wewe una haki yako pia hakuna wa kukulaumu kama ulileta udini kununua kazi yake bila kujali maadili yaliyokuwemo katika kazi yake.
 
Jamaa ametoa reason zake nzuri tu, nashangaa kuna watu wanamkejeli hapa ukiangalia imani zao ni za kukariri, ukiwauliza maswali wanaishia kukujibu blah blah
Umesema mkuu tatizo la watu wengi wamefikirishwa na wazungu na waarabu wanadhani kuna ukweli humo katika dini, kumbe ni utapeli tu. Wazungu waliingia na gia ya kristu wakaishia kututawala, waarabi waliingia na uislamu lakini wakashirikiana nwa waliotuletea biblia kufanya biashara ya utumwa. Sasa Mungu yupi tumwamini ama mtume yupi tumwamini? Mimi binafsi nadhani katika utapeli Mohamed alimzidi Yesu, maana kuaminisha watu mpaka sasa ni zaidi ya Yesu. Mimi binafsi namuunga mkono kwa kustuka mapema.
 
mwanzo nilianza kuamini kauli za yule mbunge aliesema bangi hazina madhara, lakini leo napinga bangi ni mbaya.
 
amefanya vyema maana uislam na ugaidi ni kama samaki na maji
 
Back
Top Bottom