Afande Sele afunguka kwa Ukali sakata la Lulu.. Alipenda Kanumba alivyokufa...

siku alipovua nguo stejini na akili aliziacha pale pale stejini mgambo sele anapoandika hiyo post yake alikua amevuta majani yenye kinyesi. kifo sio jambo la kushangiliwa.
 
Afande yupo sahihi kabisa. Na ameongea kitaalamu na hii inadhihirisha anajua mambo
 
Atueleze kwanza siku ile alipovua suruali jukwaani na kubakia na boxer alikuwa na maana gani? Hakuona watoto kama Lulu anayemsemea wangekwazika kimaadili kwa yeye kubaki na boxer? Mpumbavu kwelikweli!
Mkuu hebu muwekee kabisa na kale kapicha kake au kama kuna video clip yake kabisa. Hatutaki mijitu minafiki
 
Mngemtukana sna angesema.hayo maneno kuntu
 
hakunabaliyejua kama kanumba anamdonyoa yule binti mpaka tukio lilipotokea
 
Good interpretation.....and.well translated mkuu
 
Mngemtukana sna angesema.hayo maneno kuntu
Inawezekana kabisa mkuu.
Lakini mwisho wa siku ukweli ungebaki kuwa palepale na mbele za Jehovah asingedaiwa hiyo damu kwasababu aliamua kusimama kwenye haki.

Dunia yetu inaharibika sana kwasababu watu wema wanafumbia macho maovu kwa kuogopa maneno ya watu.

Lulu alikuwa ni mtoto na Marehemu Kanumba ndiye aliyechangia kumharibia maisha yake. Ukweli ni kwamba leo hii Lulu angekemewa huenda angepata hada degree na kuwa na maisha ya kujitegemea na Kanumba angekuwa hai.

Yote yanawezekana.......
 
We ndio lofa kweli, ndio maana moro hawakukupa ubunge.
Yan ww unaamini m2 anaenda 9t club, anagowa njendani bado unamwita mtoto. Pumbav zako mfyuuuu[emoji41] [emoji35]
 
hakunabaliyejua kama kanumba anamdonyoa yule binti mpaka tukio lilipotokea
Siyo rahisi,
Watanzania sisi ni wambea na tunapenda kuchunguza maisha ya watu sana.

NB: Watu walijua sema wakaamua kupotezea tu. Mama Kanumba alijua lakini hakumkanya Marehemu Kanumba, mdogo wake Kanumba alijua na alikiri mbele ya mahakama kwamba walikuwa na mahusiano. Mama Lulu alijua lakini kwasababu ya maslahi akaamua kupotezea!

Evil will always triumph so long as the good men remain silent.
 
Bange mbaya sana, anasahau mambo yake ya ajabu hadharani.

Kazi ipo [emoji3]
 
Kanumba kutenda kosa hakufuti kosa la Lulu.

The law isn't always fair wakuu.
 
Umenikumbusha kitabu kimoja kinaitwa African child .
who is care giver. .....aliongea mhusika mmoja my African ; our traditon and custom are real intrinsic what about our coming offspring will they respect our ancestors. ?
 
Safi sana Mkuu....
 
Atueleze kwanza siku ile alipovua suruali jukwaani na kubakia na boxer alikuwa na maana gani? Hakuona watoto kama Lulu anayemsemea wangekwazika kimaadili kwa yeye kubaki na boxer? Mpumbavu kwelikweli!
Mtoto anatafuta nn kwenye majukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…