Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kweli huyo anajiita Afande alivuta kuna uhalali iruhusiwe kutumika sometime inawapa Hekima maana kasema ukweli kuvua boxer stageni sawa si alikuwa na watu wazima wenzake . Lkn hii kurepu watoto haieleweki kabisaa kwanza Marehemu ana kesi ya kujibu. Ukigongwa na treni utashitakiwa hata kama umeumia wewe maana umefuta sehemu yake, sasa huyo kiumri alikuwa analawitiwa tu labda sheria zimebadilishwaNi bangi ya wapi hii
teh teh mtu pori anajikuta ni karl maxHayo maandiko aliyonukuu ni ya dini gani?maana Mungu "JUA"wake hana maandiko hayo.
Ruhusu akili yako itumikeUsiku huo club Lulu alikuwa na nani!!??
Nani alimruhusu awe maeneo hayo usiku huo!??
Alimgusa Afande bega kwa nia gani!?
... Afande haoni kama huyu Lulu wazazi wake walishampindisha kimaadili hata kabla ya kukutana na Kanumba!?
Kwanini ajiweke upofu na Zigo lote kumtupia Marehemu..!?
Afande anasema anamchukia marehemu mpaka sasa..!? Wewe kama nani!? Wewe Mungu!?
Mungu anasamehe... Wewe Afande ni nani!!????
Ndipo utizame kibanzi ndani ya jicho la mwenzako nyambafuAngalia boriti ndani ya jicho lako n
Soma tena mkuu hujamuelewa... amesema alikujakusikia habari yakanumba baadayakifo chake sio kablaAfande mbona hakuyasema haya wakati Kanumba yuko hai ?? Huenda pengine angeokoa uhai wa Kanumba na Lulu angekuwa hata chuo kikuu na siyo gerezani.
NB: Ni maneno mazuri lakini anachofanya ni unafiki kwasababu marehemu hayupo! Kinga ni bora kuliko tiba!
2012 wanasema alikuwa under 18 kwa maana alikuwa na age ya 17 ina maana 2006 , miaka sita nyuma alikuwa na 11 ..duh miaka 11 then kanakwenda clubUsiku huo club Lulu alikuwa na nani!!??
Nani alimruhusu awe maeneo hayo usiku huo!??
Alimgusa Afande bega kwa nia gani!?
... Afande haoni kama huyu Lulu wazazi wake walishampindisha kimaadili hata kabla ya kukutana na Kanumba!?
Kwanini ajiweke upofu na Zigo lote kumtupia Marehemu..!?
Afande anasema anamchukia marehemu mpaka sasa..!? Wewe kama nani!? Wewe Mungu!?
Mungu anasamehe... Wewe Afande ni nani!!????
Hana kosa,marehemu ni mzoga tu,unaogopa nini?Mpumbavu kwelikweli...
Sidhani kama alikuwa salama akipost hii...
Bangi tupu.
Huwezi kumlaani marehemu namna hii.. Haiwezekani.
Unalinganisha ukubwa wa panya na simba kisa wote wanakula nyama.Atueleze kwanza siku ile alipovua suruali jukwaani na kubakia na boxer alikuwa na maana gani? Hakuona watoto kama Lulu anayemsemea wangekwazika kimaadili kwa yeye kubaki na boxer? Mpumbavu kwelikweli!
Katika Ukurasa Wake wa FaceBook.
Nakumbuka vizuri saana mwaka 2006 yaani miaka miwili tu baada ya mimi kushinda taji la ufalme wa rhymes Tz na kukabidhiwa ile gari maridadi sana ya zawadi aina ya toyota sera yenye milango ya kubinuka kama mabawa ya ndege anaejiandaa kuruka....
Jumamosi moja ktk mwaka ule nikiwa kwenye ubora wangu wa hali ya juu na ushawishi mkuu kuliko msanii yeyote Tz nilialikwa kutumbuiza Tabata kwenye ukumbi wa Dar West uliokua maarufu sana nyakati zile...
Lkn wakati nikiwa back stage kabla sijapanda jukwaani huku usiku ukiwa umetamalaki yaani ule usiku wa manani au usiku wa manane kama wengi tulivyozoea kusema ingawa tunakosea nikashangaa nashikwa begani na mtu aliyekua nyuma yangu ambapo kulikua na watu wengi tu...
Nilipogeuka niangalie ninani aliyenishika bega''Hammad"nikamuona Lulu michael aliyekua bado ni bint mdogo sana ingawa tayari alikua na umaarufu si haba labda kwa sababu ya hayo maigizo yao ambayo baadae wakayaita filamu au bongo movie...
Nilipomuona akaniamkia kwa bashasha namimi nikaitikia huku sura yangu nikiikunja na kuwa ya kuogofya kisha nikaamuuliza kwa ukali kidogo ni kwanini yupo pale ukumbini ktk muda ule ambao kwa umri wake hakupaswa kuwepo?..
Lulu hakua na majibu ya maana na papo hapo nikamtoa nje ya ukumbi na kisha nikamtuma dereva wangu wkt ule alikua home boy wangu ephraim nguzo aka bad card amrudishe nyumbani kwao haraka na ahakikishe mama yake amempokea...
Bad alifanya hivyo kiroho safi akarejea ukumbini na akanimbia kuwa alitimiza yote niliyomuagiza ukizingatia na yeye badi tayari alikua na familia hivyo aliujua vyema uchungu wa mwana...
Lakini miezi michache baadae nikaja kupigwa butwaa baada ya kusikia kuwa et kale kabint lulu kumbe tayari kalikua na ukaribu usio wa kawaida na baadhi ya hao wasanii mabazazi wa maigizo wasiokua na utu wala aibu...niliumia sana moyoni nikiwa kama mzazi wa mtoto wa kike ninaempenda sana na kutamani kumuona akitimiza ndoto zake muhimu kwenye maisha kama kupata elimu kwa wkt muafaka...
Lakini niliumia zaid baada ya matatizo aliyoyapata lulu kupitia kanumba na kwa hakika sikua miongoni mwa waliohuzunika wala kushiriki kivyovyote ule msiba wa kanumba ingawa wkt wote wa pilika za msiba ule mimi nilikua dar tena palepale sinza msiba ulipokuwepo...
Sikutaka kuvaa joho la unafki kama ilivyo kwa waTz wengi...kwangu hata sasa kanumba ni mtu mbaya na alifanya kitendo kibaya kabisa dhidi ya bint mdogo aliyepaswa kumsaidia kufikia malengo na sio.kumtumia kwa sababu ya umaarufu wake...leo kanumba amepumzika au anapambana na Mola wake kwa kutofuata yale maandiko yasemayo kuwa'TAMAA Ikichukua Mimba Huzaa Dhambi na Dhambi Ikishakukomaa Huzaa MAUTI.
Kanumba amevuna alichopanda lkn Lulu unyonge wa kiumri na udhaifu wa kisichana vimebakia kuwa mateso ktk maisha yake...MUNGU ni mwema atamuafu Lulu amalize kifungo chake salama kama alivyompa kanumba haki ya matendo yake mabaya kwa kumlaza mapema.
Mwisho wa siku wote wawili wabarikiwe kwa kutufundisha tuliobakia ili tuchague njia sahihi za kupita....DUNIA..GUNIA...
MY TAKE...
AFANDE UMEHUKUMU.... NAWE UTAHUKUMIWA TU.
NO ONE IS PERFECT.
fungua uzi wako umseme kwa kuji expose kimwili ila kwa hili afande yuko vyema sana !Lulu hajatendewa haki akiwa bint mdogo na hatendewi haki sasa akiwa young woman!Atueleze kwanza siku ile alipovua suruali jukwaani na kubakia na boxer alikuwa na maana gani? Hakuona watoto kama Lulu anayemsemea wangekwazika kimaadili kwa yeye kubaki na boxer? Mpumbavu kwelikweli!
mpaka leo watu wanamlaani hitler,nguema ,id amin Mobutu ,pinochet ,sadam,osama, (josiah juma kijogoo ,norinder ommyguy, cowboy hawa kiboko msheri panya road wa enzi hizo)!Mpumbavu kwelikweli...
Sidhani kama alikuwa salama akipost hii...
Bangi tupu.
Huwezi kumlaani marehemu namna hii.. Haiwezekani.
Endeleeni tu kutetea uhalifu inaonesha kanumba angekuwa hai mngeendelea kutetea matendo yake dhidi huyu bint na wengineo!Afande mbona hakuyasema haya wakati Kanumba yuko hai ?? Huenda pengine angeokoa uhai wa Kanumba na Lulu angekuwa hata chuo kikuu na siyo gerezani.
NB: Ni maneno mazuri lakini anachofanya ni unafiki kwasababu marehemu hayupo! Kinga ni bora kuliko tiba!
Kanumba haja rape.Kama kweli huyo anajiita Afande alivuta kuna uhalali iruhusiwe kutumika sometime inawapa Hekima maana kasema ukweli kuvua boxer stageni sawa si alikuwa na watu wazima wenzake . Lkn hii kurepu watoto haieleweki kabisaa kwanza Marehemu ana kesi ya kujibu. Ukigongwa na treni utashitakiwa hata kama umeumia wewe maana umefuta sehemu yake, sasa huyo kiumri alikuwa analawitiwa tu labda sheria zimebadilishwa