Mbona hii kesi mbona lulu alisema uhusiano wao una miezi 4? Na mbona alihojiwa na salama aliulizwa umri alisema anA miaka 18? Na mbona alifanya birthday ya kutimiza umri Wa miaka 18? Alipopata matatizo akarudisha umri ili ionekane alikuwa mdogo. Na kama kweli alipigwa baada ya kipigo kweli uende coco beach ukapunge upepo. Sitetei kwa yaliyotokea maana mama kanumba na yeye amekosa mtoto na mama lulu nae ana uchungu na mwanawe.ila kuna kitu hakiko sawa.hiyo miaka 2 kwake ni afadhali mno maana kuna kesi ambazo kuna watu sio March za kuua bila kukusudia wanasota ndani bila dhamana for years kabla ya kusikilizwa na kifungo huwa ni zaidi ya hiyo miaka