Afande Sele afunguka kwa Ukali sakata la Lulu.. Alipenda Kanumba alivyokufa...

Afande Sele afunguka kwa Ukali sakata la Lulu.. Alipenda Kanumba alivyokufa...

Mbona hii kesi mbona lulu alisema uhusiano wao una miezi 4? Na mbona alihojiwa na salama aliulizwa umri alisema anA miaka 18? Na mbona alifanya birthday ya kutimiza umri Wa miaka 18? Alipopata matatizo akarudisha umri ili ionekane alikuwa mdogo. Na kama kweli alipigwa baada ya kipigo kweli uende coco beach ukapunge upepo. Sitetei kwa yaliyotokea maana mama kanumba na yeye amekosa mtoto na mama lulu nae ana uchungu na mwanawe.ila kuna kitu hakiko sawa.hiyo miaka 2 kwake ni afadhali mno maana kuna kesi ambazo kuna watu sio March za kuua bila kukusudia wanasota ndani bila dhamana for years kabla ya kusikilizwa na kifungo huwa ni zaidi ya hiyo miaka
 
True usiruhusu mazoea ya kijinga Na watoto wako,kwanza ni ushenzi mie huwa spendi kabisa mtoto mdogo aitwe mchumba,yaani mtoto wanamfanya ufikirie uchumba tu.Bora mwanangu aitwe kajina kanakompa motivation ya kusoma siyo majina ya mchumba.Spendi kabisa
Safi sana Mkuu, hapo umeeleweka
 
Soma tena mkuu hujamuelewa... amesema alikujakusikia habari yakanumba baadayakifo chake sio kabla

Haya yashatokea tayari,
Kanumba hawezi kurudi tena na wala haiwezi kufuta hukumu ya Lulu.
Msingi ni wananachi wa Tanzania pamoja na serikali kutilia mkazo sheria zetu.
Ubakajia wa watoto kama ambavyo Kanumba alifanya kwa Lulu uadhibiwe kwa adhabu kubwa sana.
Tana cha ziaidi hata mzazi wa mtoto anayepuuzia baada ya kuona mtoto anaharibika inabidi apewe adhabu pia.
 
Usiku huo club Lulu alikuwa na nani!!??

Nani alimruhusu awe maeneo hayo usiku huo!??

Alimgusa Afande bega kwa nia gani!?

... Afande haoni kama huyu Lulu wazazi wake walishampindisha kimaadili hata kabla ya kukutana na Kanumba!?

Kwanini ajiweke upofu na Zigo lote kumtupia Marehemu..!?

Afande anasema anamchukia marehemu mpaka sasa..!? Wewe kama nani!? Wewe Mungu!?

Mungu anasamehe... Wewe Afande ni nani!!????

Na wewe ni nani wa kumpangia Afande Sela muda wa kumsamehe. Na ni nani aliyekufundisha kwamba msamama ni sharti la lazima.

Binadamu kama nyinyi ndiyo tunaotakiwa kuwafundisha kwamba msamaha ni kitu cha hiari na nikitaka kukuchukua maisha yote ninaweza na ninaweza kukuchukia hadi milele.

Mimi ninamchukia Idi Amini hadi milele. Kuna watu watamchukia Juliu Nyerere hadi milele. Kuna watu watamchukia Oscar Kambona hadi milele.

Na ninajua kuna watu watanichuki mimi hadi milele.

Pambafu kama hujui haya.
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Tatizo tumezoe a UNAFIKI na kupeana sifa za uongo mtu anapokufa. Ila hakuna aliposema kafurahia kifo cha Kanumba acha urongo na wewe.

Wanyarwanda pale MWanza waliposhangilia kuuawa kwa Rais Habyarimana, Julius Nyerere aliwatetea. Mtu unayeona ni mbovu kwako akifariki unayo haki ya kufurahia kifo chake.

Hata waliommininia risasi Tundu Lissu wangefurahi kama wangefaulu kutoa roho yake.
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Na wewe ni nani wa kumpangia Afande Sela muda wa kumsamehe. Na ni nani aliyekufundisha kwamba msamama ni sharti la lazima.

Binadamu kama nyinyi ndiyo tunaotakiwa kuwafundisha kwamba msamaha ni kitu cha hiari na nikitaka kukuchukua maisha yote ninaweza na ninaweza kukuchukia hadi milele.

Mimi ninamchukia Idi Amini hadi milele. Kuna watu watamchukia Juliu Nyerere hadi milele. Kuna watu watamchukia Oscar Kambona hadi milele.

Na ninajua kuna watu watanichuki mimi hadi milele.

Pambafu kama hujui haya.

Pumbavu mwenyewe ..pumbavu.
 
e45be4886a8fbb70297d439f9d7fa53b.jpg
ayyyyyaaaaa nimecheka kuona hii picha mkuu..... ni kama cover ya movie za kihindi vile, ukimpata editor mzuri apo inakuwa bombastic.

Out of topic sasa, huyu askari wa tatu from left ni mwarabu, mhindi au? Nauliza tu
 
Back
Top Bottom