Afande Sele afunguka kwa Ukali sakata la Lulu.. Alipenda Kanumba alivyokufa...

Ni bangi ya wapi hii
Kama kweli huyo anajiita Afande alivuta kuna uhalali iruhusiwe kutumika sometime inawapa Hekima maana kasema ukweli kuvua boxer stageni sawa si alikuwa na watu wazima wenzake . Lkn hii kurepu watoto haieleweki kabisaa kwanza Marehemu ana kesi ya kujibu. Ukigongwa na treni utashitakiwa hata kama umeumia wewe maana umefuta sehemu yake, sasa huyo kiumri alikuwa analawitiwa tu labda sheria zimebadilishwa
 
Still we need meditation.
Do nothing for this moment may be the best option.
Decision made today shall have to be recorded for future benefits and references.
 
Ruhusu akili yako itumike


Siku ataliwa mwanao wa darasa la pili kwa kosa lako la kutompa hela ya karanga na bagia za mwalimu

Usijute.

"Mia 900 itapendeza zaidi" by Dr Luis
 
Soma tena mkuu hujamuelewa... amesema alikujakusikia habari yakanumba baadayakifo chake sio kabla
 
2012 wanasema alikuwa under 18 kwa maana alikuwa na age ya 17 ina maana 2006 , miaka sita nyuma alikuwa na 11 ..duh miaka 11 then kanakwenda club
 
Mpumbavu kwelikweli...

Sidhani kama alikuwa salama akipost hii...

Bangi tupu.

Huwezi kumlaani marehemu namna hii.. Haiwezekani.
Hana kosa,marehemu ni mzoga tu,unaogopa nini?
 
Afande sele kaongea ukweli. Mmekasirika kwasababu kamuongelea marehemu au? Kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake.
 
Atueleze kwanza siku ile alipovua suruali jukwaani na kubakia na boxer alikuwa na maana gani? Hakuona watoto kama Lulu anayemsemea wangekwazika kimaadili kwa yeye kubaki na boxer? Mpumbavu kwelikweli!
Unalinganisha ukubwa wa panya na simba kisa wote wanakula nyama.

Sasa kuvua nguo ndio sawa na kuzini na mtoto mdogo?
Sikatai zote ni dhambi na hazifai kutendwa ila angalia impact ya kila tendo hapo, Kanumba alishakufa na halaumiwi kwakua hawezi kusikia lolote katika ulimwengu wa kawaida.

Kwa kilichotokea kati ya Lulu na Kanumba kwetu liwe fundisho.
 


AFANDE SELE YUPO SAHIHI. KANUMBA PIA NI MATOKEO YA YALIYOMTOKEA LULU
 
Atueleze kwanza siku ile alipovua suruali jukwaani na kubakia na boxer alikuwa na maana gani? Hakuona watoto kama Lulu anayemsemea wangekwazika kimaadili kwa yeye kubaki na boxer? Mpumbavu kwelikweli!
fungua uzi wako umseme kwa kuji expose kimwili ila kwa hili afande yuko vyema sana !Lulu hajatendewa haki akiwa bint mdogo na hatendewi haki sasa akiwa young woman!
 
Mpumbavu kwelikweli...

Sidhani kama alikuwa salama akipost hii...

Bangi tupu.

Huwezi kumlaani marehemu namna hii.. Haiwezekani.
mpaka leo watu wanamlaani hitler,nguema ,id amin Mobutu ,pinochet ,sadam,osama, (josiah juma kijogoo ,norinder ommyguy, cowboy hawa kiboko msheri panya road wa enzi hizo)!
Fiauni wa enzi za Mussa nk
Wacha walaaniwe waovu!
 
Endeleeni tu kutetea uhalifu inaonesha kanumba angekuwa hai mngeendelea kutetea matendo yake dhidi huyu bint na wengineo!
 
Atuambie Lulu alipokuwa mpenzi wa Kanumba na haswa siku aliposababisha kifo cha Kanumba alikuwa na miaka mingapi
 
Kanumba haja rape.
Amsubiri dogo aive.
Dogo mpka kafikisha umri. Marehemu akawanakula buana.
Mnasema karep
 
Afande umeandika kwa kufikiri sana ila wale watoto wa kufikiri hawataelewa,, Naimani hata mama ake lulu anajiskia vibaya sana kwa jambo hili • yote kwa yote mungu amjalie lulu huko aliko miaka miwili ni kama week mbili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…