Afande Sele amjia juu Mpoto, adai kutomsema marehemu kumepitwa na wakati

Hata hiyo yangu nayo niko huru.

Freedomof opinion ni kitu kimoja.

Opinion moja kuwa mbaya na nyingine kuwa nzuri ni kitu kingine.

Hakuna ubishi kwamba kila mtu ana uhuru wa kutoa opinion.

Lakini hilo halina maana mtu akisema kula mavi yana faida za kiafya ukubali, kwa sababu ni nchi huru kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni.

Ukweli nikwamba wabongo wengi ni rahisi kutoa ushauri ambao hawajaombwa na wala si lazima kwa mambo wasiyoyajua, wakati wao wenyewe wameshindwa kujiendeleza kwa mambo wanayotakiwa kuyajua.

Umeandika maneno mengi sana, lakini hayana point hata moja. Haya, kama unataka kula mavi we kula tu.
 
Kwani kanumba amekufa mwaka 2017 ,si amekufa kitambo ...

Ndio amekufa kitambo. Je kuna umuhimu wa kumuongelea leo? Kabla hajafa alikuwa anatembea na huyo mtoto (wakati huo akiwa under 18) na wengi walijua. Walipaswa kuliongelea hili kipindi hicho
 
Umeandika maneno mengi sana, lakini hayana point hata moja. Haya, kama unataka kula mavi we kula tu.
Kamahayana point wewe ambaye umeyajibu na hata baada ya kuyajibu hujaonesha wapina vipihayana point ndiye ambaye huna point zaidi.

Wewe ushaamua kula mavi tayari, hujajua tu.

Kwa sababu ushazoea.
 
Ndio amekufa kitambo. Je kuna umuhimu wa kumuongelea leo? Kabla hajafa alikuwa anatembea na huyo mtoto (wakati huo akiwa under 18) na wengi walijua. Walipaswa kuliongelea hili kipindi hicho

Wewe, watu walikuwa hawajui kama Kanumba anabozogoa visicha, mpaka alivyokufa. Unafikiri angeachwa salama?
 
Kamahayana point wewe ambaye umeyajibu na hata baada ya kuyajibu hujaonesha wapina vipihayana point ndiye ambaye huna point zaidi.

Wewe ushaamua kula mavi tayari, hujajua tu.

Kwa sababu ushazoea.

We mjomba unazingua bange tu.
 
Ndio amekufa kitambo. Je kuna umuhimu wa kumuongelea leo? Kabla hajafa alikuwa anatembea na huyo mtoto (wakati huo akiwa under 18) na wengi walijua. Walipaswa kuliongelea hili kipindi hicho
Ilikua ni siri yao
 
Culturally wanyama wanasemwa kwa mabaya au mazuri wakiwa wamekufa au kufariki wewe uliwahi kusikia habari za Faru John kabla ya Kifo chake,wewe uliwahi kusikia aliyoyafanya mengi Maleale kabla ya kifo chake,wewe uliwahi kusikia historia ya Kinjekitile kabla ya kifo chake N.K
 
Sijawahi sikia mtu kashtakiwa kwa kuvua ndio hadharani, kuvua bangi nasikia tu sijawahi kumuona
Nitakutafutia vifungu vya Sheria.Cha msingi ni kwamba hata kama ni vizuri kusema ukweli,unaongea Mara Moja unamaliza siyo kila Wakati tena unamponda mtu ambaye hayupo, hawezi kujitetea,hapo tunakiuka kanuni ya natural justice yaani "Audi alteram partem."
 
OK Mkuu nimekusoma
 
kiukweli afande hayupo sahihi issue ya kuwa kwenye mahusiano na mtu kuanzia miaka 18 imewekwa tu na wanadamu haikushushwa ila tumeweka wanadamu so kumkuta mtu yupo ndani ya mahusiano katika umri huo sio dhambi ila ni kosa kisheria,
ila pia naweza sema sio kosa kwasababu hata sheria ilikuwa inaruhusu watu kuolewa kuanzia miaka 14
 
Ndio amekufa kitambo. Je kuna umuhimu wa kumuongelea leo? Kabla hajafa alikuwa anatembea na huyo mtoto (wakati huo akiwa under 18) na wengi walijua. Walipaswa kuliongelea hili kipindi hicho

Hao wengi waliokuwa wanajua ni akina nani. Je nawe ni mmoja wao?
 
Huyu kaka sio mstaarabu hata kidogo yaani, alikuwa wapi kumwambia alipokuwa hai? Haya leo hii anaongea huyo marehemu anasikia?
 
Afande yuko sahihi, ni nani mwenye binti mdogo atakayekubali huo ubazazi?
 
Ndio amekufa kitambo. Je kuna umuhimu wa kumuongelea leo? Kabla hajafa alikuwa anatembea na huyo mtoto (wakati huo akiwa under 18) na wengi walijua. Walipaswa kuliongelea hili kipindi hicho
Ulijuwa kuwa kanumba anatembea na lulu?
 
Back
Top Bottom