Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Hii sasa kiki, aliongea mwanzo tukamuelewa bas angenyamaza tu mlengwa mwenyewe keshakubaliana na hali na hataki dhamana sasa wao kinawawasha nn
Dhamana ya nini tena?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sasa kiki, aliongea mwanzo tukamuelewa bas angenyamaza tu mlengwa mwenyewe keshakubaliana na hali na hataki dhamana sasa wao kinawawasha nn
Afande yupo sahihi. Mpoto ni agent wa ibilisi
Msanii Afande Sele amesema kitendo cha watu kumwambia kuwa anafanya vibaya kumsema marehemu (Steven Kanumba) ni kitendo ambacho kimepitwa na wakati na mila zisizofaa.
Afande Sele ameyasema hayo alipokuwa akiongea kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, huku akimjibu Mrisho Mpoto baada ya kumwambia anakosea kumsema marehemu kuwa alikuwa anabaka, na kusema kwamba mila kama hizo hazifai kwenye jamii kwani zinaleta madhara makubwa baadaye.
Afande Sele ameendelea kwa kusema kwamba ni ukweli usiopingika kuwa Kanumba alikuwa anafanya dhambi, hivyo ni jambo ambalo halitakiwi kufichwa ili wengine wajifunze kupitia hilo.
Hivi karibuni kumekuwa na mvutano mkubwa baada ya muigizaji ELizabeth Michael (Lulu) kuhukumiwa kwa kifo cha Kanumba, na baadhi ya watu kusema kuwa alistahili adhabu hiyo huku wenine wakidai ameonewa kwani marehemu alikuwa anamrubuni kutokana na kuwa na umri mdogo kwake.
Umejiuliza kwanini afande kamjibu mpoto???Haileti maana kusubiri mtu afe ndio uongee. Kwa nini usiongee akiwa hai, huoni kama ingemsaidia yeye na wengine wenye tabia hizo?
Hahaha nimekukubali uncle. Njoo uchukue balimi yako hapa Sinza kwa MugabeCulturally wanyama wanasemwa kwa mabaya au mazuri wakiwa wamekufa au kufariki wewe uliwahi kusikia habari za Faru John kabla ya Kifo chake,wewe uliwahi kusikia aliyoyafanya mengi Maleale kabla ya kifo chake,wewe uliwahi kusikia historia ya Kinjekitile kabla ya kifo chake N.K
Kwani marehem hasemwi? Vipi kukusu kumsema MangiMeli, Kinjekitile, Karume n.k? Afande is correctHuyu kaka sio mstaarabu hata kidogo yaani, alikuwa wapi kumwambia alipokuwa hai? Haya leo hii anaongea huyo marehemu anasikia?
Afande ameongea kama mzazi na yupo sahihi.. Hata Mimi sikubali mwanangu agegedwe at that ageAfande yuko sahihi, ni nani mwenye binti mdogo atakayekubali huo ubazazi?
Kweli kabisa yani imekuwa too much kila siku anaongea jambo lile lile over marehemu anaskiaHii sasa kiki, aliongea mwanzo tukamuelewa bas angenyamaza tu mlengwa mwenyewe keshakubaliana na hali na hataki dhamana sasa wao kinawawasha nn
kiukweli afande hayupo sahihi issue ya kuwa kwenye mahusiano na mtu kuanzia miaka 18 imewekwa tu na wanadamu haikushushwa ila tumeweka wanadamu so kumkuta mtu yupo ndani ya mahusiano katika umri huo sio dhambi ila ni kosa kisheria,
ila pia naweza sema sio kosa kwasababu hata sheria ilikuwa inaruhusu watu kuolewa kuanzia miaka 14
Watu walikuwa hawajui kifo kilimuumbua kwanza kila mtu alishangaaNdio amekufa kitambo. Je kuna umuhimu wa kumuongelea leo? Kabla hajafa alikuwa anatembea na huyo mtoto (wakati huo akiwa under 18) na wengi walijua. Walipaswa kuliongelea hili kipindi hicho
Hakuna mtu atakubali lakini mabwana zake wengine si wako wazima awaseme maana Marehemu hakuwa wa kwanza wako kina Kiba sijui na wengi tu atoke awaseme sio kila siku kumsema mtu ameshafariki hawezi kujitetea wakati yeye mweyewe Lulu alisema she is 18 that time na kila siku alikuwa clubs picha magazeti yote ziko na wazazi wake si walikuwepo. tusiwe wanafiki kujifanya malaika wote tuna madhambi lakini ukifa ni kumuombea kwa Mungu ndio mwenye rehma tusijifanye miungu watu.Hivi wewe utafurahi Binti w
yako wa 14 or 15 akipitiwa na mabazazi ya more than 25?
She is[emoji735]Hakuna mtu atakubali lakini mabwana zake wengine si wako wazima awaseme maana Marehemu hakuwa wa kwanza wako kina Kiba sijui na wengi tu atoke awaseme sio kila siku kumsema mtu ameshafariki hawezi kujitetea wakati yeye mweyewe Lulu alisema she is 18 that time na kila siku alikuwa clubs picha magazeti yote ziko na wazazi wake si walikuwepo. tusiwe wanafiki kujifanya malaika wote tuna madhambi lakini ukifa ni kumuombea kwa Mungu ndio mwenye rehma tusijifanye miungu watu.
Kwani watoto wanaendaga disco usiku??Yeye alipovua nguo hadharani,ni inspiration gani aliyopotray kwa watoto?