Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Afande Sele amtukana matusi mazito Sugu

Nliacha bangi sababu ningeendelea kuvuta leo ningekua kama afande
 
Dah! Afande Sele ni moja ya wasanii wanaotoa nyimbo zenye maadili ndani yake ; lakini sijui nini kinamchanganya!
 
Yap na mtazamo wangu upo sahihi,haiwezekani mwanaume unamwambia mwanaume mwenzako ana sura mbaya

Sio sugu sasa sema Sele na Faiza wewe umesema Sugu na Faiza nadhani ulitakiwa useme "Sele na Faiza" Maana huyo Faiza akimkumbuka Sugu usiku au akimwota kesho yake matusi mfululizo na kubeba chupi iliyotoboka
 
Ati afande sasa yeye anamwona mwenzake ni short and ugly yeye tall and pretty what next? Maana yeye saa hivi ni inzi wanamfuata kwa kunuka maana hata hajui lini mara ya mwisho kuoga................. yeye amebeba kichwa chenye nywele na ulimi basi ubongo hakuna. Manaa angekuwa nao angeongea ya maana na sio huo mtindio wa akili
 
Huyu jamaa anatiharibia wavuta bangi ,aaaghh shittt
 
Ati afande sasa yeye anamwona mwenzake ni short and ugly yeye tall and pretty what next? Maana yeye saa hivi ni inzi wanamfuata kwa kunuka maana hata hajui lini mara ya mwisho kuoga................. yeye amebeba kichwa chenye nywele na ulimi basi ubongo hakuna. Manaa angekuwa nao angeongea ya maana na sio huo mtindio wa akili
Anatuharibia sana
 
Wacha kijiko kiitwe kijiko,kwani sugu ni mrefu
Afande kasema sugu ni mfupi,ana sura mbaya,mweusi,aliachwa na faiza,amepata mtoto uzeeni.

Mpaka kamuhusisha na marehemu mama yake sugu,afande wewe sugu ndo alikutoa kimuziki lakini mwisho wa yote wananchi wa morogoro sio wapumbavu kiasi hicho wakupe ubunge afande sele,hata huyo magu ambaye unajipendekeza kwake hawezi akakupa hata uenyekiti wa mtaa.

Afande sele ndo anayesababisha wavuta bangi tuonekane hatuna akili
Wacha kijiko kiitwe kijiko sasa ulitaka aseme Mr Sugu ni mrefu au ni handsome?wengine hawasemagi uongo bana,kama wewe ni short basi unabaki hivyo hivyo mimi sioni kosa la Afande.
 
Ndio maana mimi BANGI huwa sitaki hata kujaribu maana nakijua kichwa changu!!

Sasa huyu Sele ni mmoja wa watu ambao hawakutakiwa kutumia kabisa kiburudisho hiki!!
Ndio watu wanaofanya kiitwa haramu huyu boya!!
 
Ooooh ok
Sasa hapo ufanano wa faiza na sugu moto chin uko wapi? Sema faiza na sele akili yao moja tena walitakiwa wawe mume na mke coz wote wana mipasho!
Yap,i mean faiza na sele,nilikosea kuandika
 
Mgambo Sele ana matatizo ya akili anahitaji msaada,hasipopata tiba anaweza kuwa chizi wa kuokota makopo.
 
Back
Top Bottom