The Skunk
Senior Member
- Jan 13, 2018
- 105
- 158
Mm siamini afande sale anaweza andika hivyo,na kama ni kweli,basi bangi ina madhara makubwa sana
ameeandika ivyoo ni kweli,cheki instagram yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm siamini afande sale anaweza andika hivyo,na kama ni kweli,basi bangi ina madhara makubwa sana
Yap na mtazamo wangu upo sahihi,haiwezekani mwanaume unamwambia mwanaume mwenzako ana sura mbaya
Amehama misufini? Maana alikua karibu na kilabu cha pombe nikajua ashakunywa mataputapuI knw him anaishi Boma road geto Bangi umemlevya wakati wanzake wanalewesha na madaraka ya madaraka madaraka ya kulevya!
Anatuharibia sanaAti afande sasa yeye anamwona mwenzake ni short and ugly yeye tall and pretty what next? Maana yeye saa hivi ni inzi wanamfuata kwa kunuka maana hata hajui lini mara ya mwisho kuoga................. yeye amebeba kichwa chenye nywele na ulimi basi ubongo hakuna. Manaa angekuwa nao angeongea ya maana na sio huo mtindio wa akili
Madhara kama aliyoyapata Fidel au Nesta Marley? Au guevara?Mm siamini afande sale anaweza andika hivyo,na kama ni kweli,basi bangi ina madhara makubwa sana
Wacha kijiko kiitwe kijiko sasa ulitaka aseme Mr Sugu ni mrefu au ni handsome?wengine hawasemagi uongo bana,kama wewe ni short basi unabaki hivyo hivyo mimi sioni kosa la Afande.Afande kasema sugu ni mfupi,ana sura mbaya,mweusi,aliachwa na faiza,amepata mtoto uzeeni.
Mpaka kamuhusisha na marehemu mama yake sugu,afande wewe sugu ndo alikutoa kimuziki lakini mwisho wa yote wananchi wa morogoro sio wapumbavu kiasi hicho wakupe ubunge afande sele,hata huyo magu ambaye unajipendekeza kwake hawezi akakupa hata uenyekiti wa mtaa.
Afande sele ndo anayesababisha wavuta bangi tuonekane hatuna akili
Nenda kwenye instagram ya afande,pia kuna screenshot nimewekaCHANZO CHA TAARIFA PLZ
Yap,i mean faiza na sele,nilikosea kuandikaOoooh ok
Sasa hapo ufanano wa faiza na sugu moto chin uko wapi? Sema faiza na sele akili yao moja tena walitakiwa wawe mume na mke coz wote wana mipasho!
Inasikitisha sanaAisehhh