Afande Sele atashtakiwa kwa kosa gani baada ya kumtukana Mungu?

Kaogopa kufa tu lakini mwanaume kamili husimama nyuma ya maneno yake...kwani wale masheikh ni wachawi au??Afande aache kuogopa wachawi hawamuwezi labda wamfate kumuuua physically
 
Jamaa alikua kichwa sana hapo zamani kama nyimbo yake ya darubini,, sema wew ana AMUK ndani yake
 
mbona Remi Ongala alishasema kuwa habari za mungu sio za kuamini?
 
afande ni msanii kama Remi Ongala msikize adi mwisho hapa
 
View attachment 1730129

Baada ya kujirekodi akimtukana Mungu, hatimaye Afande Sele amesomewa dua ya kumuomba Mwenyezi Mungu amchukue kabla ya Ramadhan.


NA HAPA INAONYESHA MIUNGU WAKO WENGI, SISI WENGINE MUNGU WETU WALA HATETEWI NA KUPIGANIWA NA WANADAMU, NI YEYE ANAJIPIGANIA.

MUNGU WA KUTETEWA NA WANA DAMU NI MUNGU DHAIFU NA NI MUNGU WA WATU WA HOVYO HOVYO SANA:

MBONA KUNA BINADAMU KILA SIKU WANA MTUKANA MUNGU? KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE NI KUTUKANA MUNGU!!! MBONA HAWA HAMUWASOMEI ALBADIR??

HUYO AFANDE SELE KAMA KAMTUKANA MUNGU NI SAWA, KOSA ALILOFANYA NI KUTO MTUMIA HIZO AUDIO CLIP HUYO MUNGU WAKE.
 
Kwani huyo afande sele ni polisi wa kituo gani cha polisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…