Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Naona unatetea mmea.si kweli ana shida zake tu bangi haihusiki kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona unatetea mmea.si kweli ana shida zake tu bangi haihusiki kabisa
Sasa kama waweza piga dua mtu akafa, iweje ushindwe piga dua na mtu akafufuka!!!Huu utapeli na ujinga Waislamu hatuna.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] mmea naukubali sanaNaona unatetea mmea.
Kabisa.100%Je wako sahihi?
Dua gani hiyo ku kuua Mtu...?Sasa kama waweza piga dua mtu akafa, iweje ushindwe piga dua na mtu akafufuka!!!
Kukosea kupo na yeye Kiskhi anaweza kukosea kama mwanadamu ila kumuita ' mjinga mjinga' mtu kama yule anayefanya kazi kubwa na ameshajijengea heshima miongoni mwa watu kwangu mimi naona siyo fair.Haya ndiyo Mtume aliyasema, yaani watu wajinga wajinga wanaisemea dini na kufanya maamuzi kama haya. Sasa sijui huu ujinga wameuota wapi, Mtume alikuwa anawapa nasaha na kuwaombea kheri Allah awaongoze watu hawa.
Ukiangalia kwa jicho la kielimu jambo alilofanya Afande Sele limekubikwa na ujinga wake ndiyo maana baadae nimekuja kusikia kwamba ameomba radhi.
Nachokidema nakijua kaka, nina sehemu nimerejea.Kukosea kupo na yeye Kiskhi anaweza kukosea kama mwanadamu ila kumuita ' mjinga mjinga' mtu kama yule anayefanya kazi kubwa na ameshajijengea heshima miongoni mwa watu kwangu mimi naona siyo fair.
Magu hakufa kwa corona Bali marafhi ya moyoAmesemaje, ametukana nini?
Mungu akitukanwa aachwe ajitetee, kama hawezi kujitetea mwenyewe basi hayupo.
Mungu ndie aliemashauri jpm asichukue tahadhari? Kama ni yeye basi alaumiwe na kama sio yeye basi marehemu alaumiwe kwa uzembe.
Hili jambo ni la hatari. Linaweza shawishi mauaji to prove a point sababu ya ushindani.
Kama MUNGU amekasirika atamuadhibu kwa namna anayoona YEYE na ujumbe utafika. Si lazima kumshawishi mbele ya makamera.
Baadala ya kuomba dua mashekhe watoke jela wana angaika na mvuta bangi kweli wana akili
Ok sawa , ila Mtume Muhammad (saw) alikuwa akiwaelekeza maswahaba zake kwa lililo bora katika majambo mbalimbali bila kumdhohofisha kutokana na fikra zao mfano mara nyingi rai za Umar ibn Khattab (r.a) juu ya maadui wakubwa wa kiislamu wanapotiwa nguvuni alikuwa anapendekeza kuuliwa kutokana na mapenzi makubwa na uchungu mkubwa alionao ktk dini lakini alielekezwa taratibu kwa lililokuwa bora zaidi.Nachokidema nakijua kaka, nina sehemu nimerejea.
Sasa hili kwanini limemshinda Kishki na akakurupuka kurupu kwenda kumuombea dua mbaya muhusika, wakati alipaswa kurudi katika mapito ya Mtume na maswahaba kumpa nasaha muhusika ?Ok sawa , ila Mtume Muhammad (saw) alikuwa akiwaelekeza maswahaba zake kwa lililo bora katika majambo mbalimbali bila kumdhohofisha kutokana na fikra zao mfano mara nyingi rai za Umar ibn Khattab (r.a) juu ya maadui wakubwa wa kiislamu wanapotiwa nguvuni alikuwa anapendekeza kuuliwa kutokana na mapenzi makubwa na uchungu mkubwa alionao ktk dini lakini alielekezwa taratibu kwa lililokuwa bora zaidi.
Hata mimi nimeshangaa sana mkuu, kwa sababu kazi ya kuhukumu ni ya Mungu pekee. God knows better.Wao ni nani wahukumu
Pamoja master YodaUmeongea logic sana mkuu[emoji109]