Afande Sele atoa ya moyoni kuhusu 'Seduce me' na 'Zilipendwa'

Kiukweli umesema nami nimeufuatilia sana kiba anapewa sana promo na media lkn kikazi mond yuko vzr,na ndio maana kiba anavuma Tz lkn kimataifa havumi hongera mond

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kiteto wanajua nn zaidi ya pembejeo
 
Thumb up King Selemani.
Huo ndio ukweli kitaa kuanzia waingiza nyimbo, wauza cd ni mwendo wa zilipendwa tu.
Alaf colus ya kiingereza sio ndo wimbo wa kimataifa kama hivyo wangeanza kutoboa navy kenzo
 
Najaribu kuwaza na kuwazua nn "content" ya seduce me,siipati...naona biti ikiubeba wimbo...ila sio issue tunacheza minyimbo ya kizungu na hutuelewi maana yake sembuse ya mswahili mwenzetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe alikuwa anakunywa sina cha kuongeza


Iliishia wapi ile imani yake kuhusu mungu jua na mungu mvua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zilipendwa nikajua ni Nyimbo za kina King Kik kumbe Diamond ana wimbo unaitwa zilipendwa
 
Mwanaume gani unajiita "MKAKA" halafu unajiona sio 'CHOKO'???
unajitambua sexuality yako kweli wewe..?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Afande Sele anautani na Mange Kimambi
 
kifupi washamba wanampenda domo

wajanja,wanaojielewa, wanao elewa kuperuzi, watulivu, watu smati wanampenda kiba.

domo ana mengi ya kujifunza kwa kiba, kuliko kiba kujifunza kwa domo
Ushamb huo vip tena mkuu usitulazimishe tumpende kiba kinguvu bhna kila.mtu na chaguo lake ila kiukwel huu wimbo wa seduce me nimeuelewa kimtindo ila kauli zako mkuu acha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…