figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
hata wewe ukiwa na tabia za kike utaitwa shoga tu. kwa hiyo kuitwa shoga unaona ni tusi? usiwe unaongea kishabiki. we rughe unamfahamu au unamsikia? mtu anaye ongea ukweli siku zote ntamsapoti. dume kamili halimchungulii mkewe. ubaya ubaya tu kwani nini?. miana walivyokuwa wanaimba rugay shoga!rugay shoga! Au co matusi hayo? Na line za sugu zinazosema rugay mother fxxcker?yoo acha kutetea upuuzi yoo...
kuna jamaa humu alisema eti bora angekufa afande sele kuliko mr.ebbo ,da sio vizuri wajameni..
Afande ni msaliti asie hitaji huruma. Rasta siku zote hawezi kuungana na wanyonyaji. Rasta ni mpambanaji na mwanaharakati wa kutetea haki. Asitafute huruma kwetu.
na walivyokuwa wanaimba rugay shoga!rugay shoga! Au co matusi hayo? Na line za sugu zinazosema rugay mother fxxcker?yoo acha ku
tetea upuuzi yoo...
kuna jamaa humu alisema eti bora angekufa afande sele kuliko mr.ebbo ,da sio vizuri wajameni..
Afande Sele aka Yuda Iskariote
Afande Sele, kasema ukweli mtupu...mbona wasanii wengine wanalalamika pembeni wanasema Sugu kachukuwa pesa nyingi sana za shoo, wengine wamepewa laki, wengine 50.000
Kumbuka ile show haikuwa na udhamin ukiachilia mbali times fm waliokuwa wanatangaza. ukiaangalia lile jukwaa ni la gharama, fensi wamezungusha mabati mapya kuna walinzi kuna hela ya kulipia ile sehemu. yote hayo yalikuwa chini ya sugu. lazima atoe hela alotumia kinachobaki ndo wagawane.wewe ungefanyaje? MiaAfande Sele, kasema ukweli mtupu...mbona wasanii wengine wanalalamika pembeni wanasema Sugu kachukuwa pesa nyingi sana za shoo, wengine wamepewa laki, wengine 50.000
Wengine huwa hatufautilii sana kinachoendelea ktk hii tasnia ya muziki wa hapa bongo hivyo naomba ufafanuzi kidogo huo upande wa ANTIVIRUS una kina nani na VINEGA kuna kina nani maana kila siku naona post humu lkn sizielewi kabisa
ha ha ha ha!uongo wako upo wazi sana,siku izi talent yako ya kutengeneza vitu imechuja sana.uku atuongelei siasa..ivi kuna mtu anayeweza thubutu kuwahesabia MAPACHA elfu 50 au laki?ivi memberz wa Vinega unawajua unawasikia!!
Anti vurus ni Album flani hivi inapatika on-line ambayo huwezi ukasililliza na watu unao waheshimu sababu imejaa matusi hasa lile tusi la mama. Ni project ya mbuge flani hivi anjiita SUGU
Vinega - ni kundi la low life losers ambao they are still sooo 2000 hawajakubali kwamba muziki wa sasa hivi sio ule wa enzi zao .. ndio maana nyimbo zao hazisikiki radioni tena. na pia ni kikundi cha watu waliokosa elimu wakidhani hiphop ni matusi na vurugu ..
Hakuna anaeweza kununua mziki wa wavuta bangi hata siku moja