Afande Sele awa-beep Sugu na Vinega!

Afande Sele awa-beep Sugu na Vinega!

na walivyokuwa wanaimba rugay shoga!rugay shoga! Au co matusi hayo? Na line za sugu zinazosema rugay mother fxxcker?yoo acha kutetea upuuzi yoo...
hata wewe ukiwa na tabia za kike utaitwa shoga tu. kwa hiyo kuitwa shoga unaona ni tusi? usiwe unaongea kishabiki. we rughe unamfahamu au unamsikia? mtu anaye ongea ukweli siku zote ntamsapoti. dume kamili halimchungulii mkewe. ubaya ubaya tu kwani nini?. mia
 
Mkuu wewe kama unatetea rughe basi na wewe ni virus. kueni na huruma basi angalau wasanii wetu wajijengee hata mabanda ya kuishi!?. dah! kweli wabaya watu. mia
 
Hii vita haitawafikisha wasanii pald wanapotaka bali kufikia mwafaka na kuweka chama kinachowatetea na maslahi yao kwa ujumla ndiko kutakapowafikisha wanapopataka na kufaidika na sanaa yao
 
Afande ni msaliti asie hitaji huruma. Rasta siku zote hawezi kuungana na wanyonyaji. Rasta ni mpambanaji na mwanaharakati wa kutetea haki. Asitafute huruma kwetu.

Dhiki mbaya sana Ruge sasa hivi anafanya kila njia kuonyesha umma kwamba yeye sio mdosi wa muziki wa kizazi kipya,na huyu afande sele mejimaliza,hakuna kitu kinachouma mtu kudhulumiwa jasho lako,Ruge akikuacha unufaike na jasho lako ujue basi amekufyoza vya kutosha,na kama ni hawa dada zetu ha!!!!!!!!!!!!!!! toba.

Sugu kamshika pabaya.
 
anavyo jieleza inaleta maana na asikubaliana nae atakua sio muungwana....
 
na walivyokuwa wanaimba rugay shoga!rugay shoga! Au co matusi hayo? Na line za sugu zinazosema rugay mother fxxcker?yoo acha ku
tetea upuuzi yoo...

Shoga ni tusi au tabia kama ni shoga ni shoga tu hata tukinyamaza na kuwa shoga si lazima watu wawe wanatoboa spika hata kuwa ndumilakuwili au kachumbari yaani huku unawasha kule unawasha na tabia za kisnitch ni shoga sababu hueleweki kina madamu mchomvu na bibi 12 wanayaongea sio matusi au?
 
Afandeee! geuka nyuma Madee huyo anakuja..,mnyonge wa Madee kumbe sio mfalme Suleiman tena sahvi ni Yuda Iskarioti?
 
Sugu ni jembe aisee........ Amewshika pabaya sana hao clouds
 
Afande Sele, kasema ukweli mtupu...mbona wasanii wengine wanalalamika pembeni wanasema Sugu kachukuwa pesa nyingi sana za shoo, wengine wamepewa laki, wengine 50.000
 
Mi nafikiri muziki ni moja ya sanaa ambayo tunaamini inatakiwa kuielimisha jamii,kuikosoa,kuiburudisha na mwisho wa siku kuipa mwongozo katika mambo ya kiuchumi,kisiasa,na kijamii zaidi pamoja na kuwa ajira kwa wasanii.

unaposema/kutengeneza makundi na kuzidisha chuki kwa kutofautiana kimtazamo na unapoendelea kusambaza sumu ya utengano badala ya umoja na maridhiano ni sawa na kushiriki katika kuua sanaa hii,siku zote migongano ya kifikra ni suala lisiloepukika kubwa zaidi mwanaharakati wa kweli ni yule anaetoa hoja yake na kutafuta namna ya kukutanisha pande mbili kinzani na kutafuta suluhu,matusi hayajengi jamani.
 
Afande Sele, kasema ukweli mtupu...mbona wasanii wengine wanalalamika pembeni wanasema Sugu kachukuwa pesa nyingi sana za shoo, wengine wamepewa laki, wengine 50.000

ha ha ha ha!uongo wako upo wazi sana,siku izi talent yako ya kutengeneza vitu imechuja sana.uku atuongelei siasa..ivi kuna mtu anayeweza thubutu kuwahesabia MAPACHA elfu 50 au laki?ivi memberz wa Vinega unawajua unawasikia!!
 
Afande Sele, kasema ukweli mtupu...mbona wasanii wengine wanalalamika pembeni wanasema Sugu kachukuwa pesa nyingi sana za shoo, wengine wamepewa laki, wengine 50.000
Kumbuka ile show haikuwa na udhamin ukiachilia mbali times fm waliokuwa wanatangaza. ukiaangalia lile jukwaa ni la gharama, fensi wamezungusha mabati mapya kuna walinzi kuna hela ya kulipia ile sehemu. yote hayo yalikuwa chini ya sugu. lazima atoe hela alotumia kinachobaki ndo wagawane.wewe ungefanyaje? Mia
 
Wengine huwa hatufautilii sana kinachoendelea ktk hii tasnia ya muziki wa hapa bongo hivyo naomba ufafanuzi kidogo huo upande wa ANTIVIRUS una kina nani na VINEGA kuna kina nani maana kila siku naona post humu lkn sizielewi kabisa

Anti vurus ni Album flani hivi inapatika on-line ambayo huwezi ukasililliza na watu unao waheshimu sababu imejaa matusi hasa lile tusi la mama. Ni project ya mbuge flani hivi anjiita SUGU

Vinega - ni kundi la low life losers ambao they are still sooo 2000 hawajakubali kwamba muziki wa sasa hivi sio ule wa enzi zao .. ndio maana nyimbo zao hazisikiki radioni tena. na pia ni kikundi cha watu waliokosa elimu wakidhani hiphop ni matusi na vurugu ..

ha ha ha ha!uongo wako upo wazi sana,siku izi talent yako ya kutengeneza vitu imechuja sana.uku atuongelei siasa..ivi kuna mtu anayeweza thubutu kuwahesabia MAPACHA elfu 50 au laki?ivi memberz wa Vinega unawajua unawasikia!!

Nani kaongea siasa? Wewe ndio unataka kuleta siasa...niambie wewe hao members wa Vinega walipwa kiasi gani baada ya shoo?
 
Anti vurus ni Album flani hivi inapatika on-line ambayo huwezi ukasililliza na watu unao waheshimu sababu imejaa matusi hasa lile tusi la mama. Ni project ya mbuge flani hivi anjiita SUGU

Vinega - ni kundi la low life losers ambao they are still sooo 2000 hawajakubali kwamba muziki wa sasa hivi sio ule wa enzi zao .. ndio maana nyimbo zao hazisikiki radioni tena. na pia ni kikundi cha watu waliokosa elimu wakidhani hiphop ni matusi na vurugu ..

Hakuna anaeweza kununua mziki wa wavuta bangi hata siku moja
 
Back
Top Bottom