Pre GE2025 Afande Sele awachana CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa

SNITCH ,yaani,mtu ambaye katika kura ya maoni anasema,"Nina mashaka yule ni kibaka".
Ndio Jehovah alimwambia King David kwamba wapo fulani wamefanya makosa.
Mfalme Daudi akasema,"Mungu,nionyeshe hao niwaadhibu sasa hivi."
Mungu akamwambia king David,"Kwani Mungu amekuwa mmbeya sasa. Wewe watafute hao watu halafu uwaadhibu."
And a new religion shall sweep across the land.
Dini mpya itatamalaki katika nchi.
 
Masikini ndo silaha ya mwishomwisho ya ccm,ona sasa madhara ya kutumia bangi
Taratibu mkuu. Wait a minute cause I got a question…

Dr Shika mzee wa β€œmia tisa itapendeza zaidi”, madhara yake(may he R.I.P), ilikuwa kutumia pombe tu bila bangi?
 
1990 - CCM inatetewa na Horace Kolimba, Moses Nnauye, John Chiligati, Masatu Wasira.
2024- CCM inatetewa na Mwijaku, Stive Nyerere, Afande Sele, Masanja Mkandamizaji.

Rafigi, veve Iko nadjaribu sema nini ghapa?
Ile ilikuwa sama ile na ilikuwa ni muru iko naretea Shama sha mabinduz,
Hii ya zasa ni zama ingine na mutu mungine kaapisa.
Khama nini nakosea yeye ambia mimi, Tshee.
 
Sasa kama mtu aliwahi Mtukana Mungu nae hakujibu akikutukana mwanadamu ukajibu ni dhambi .kwan unamaanisha unahadhi ya kutotokanwa kuliko Mungu.

Hizo bangi anazolewa anavua suruali na analalaga na masela wa moro hawajagonga siku mingi sababu ya msokoto sidhan kama hawajamuwaha salama .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…