Pre GE2025 Afande Sele awachana CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hii inaitwa point blank!, Cha Arusha, hakiongopi!.
P
Kwa uzoefu wanaovuta kiasi wanakuwa smart sana .ila hawa wasanii huitumia kufanyia ubunifu duniani wasanii wengi wa vinyago,wamitindo ,wachoraji huamini inauwezo wa ubunifu ndo maana bongo 97% huvuta .na nusu ya wanasiasa
Ila ikifikia extreme levels ndo hii
 
Binti yake mkubwa atakuwa kaziona picha hizi za baba yake
 
Mtu alisha piga cha arusha, cha njombe, cha uvinza, cha simiyu, cha milima ya uluguru, cha ruvuma yaani bangi za mikoa yoote nchi hii amevuta unategemea anaweza kuwa na busara?
 
Itakua anatafuta ile inaitwa nitoke Vip.Anatakiwa kujua amekosea Ubeti,atafute ubeti mwingine.
 
Pamoja na kutumia lugha Kali lakini chukueni mazuri yake kwenye huu ujumbe .Mimi pia napenda upinzani ushinde 2025 lakini sioni upinzani smart kichwani. Guys if you get a mic on mouth get to say what makes people have a feel on you.
Hapo kuna jipya lipi ambalo halijawai kusemwa?.Alafu huo upinzani smart unaupimaje?.Nikwambie tu ata magufuli asingejulikana ni kiongozi mzuri kwako kama angeendelea kua mwalimu.Kwahiyo upinzani smart utapimwa kwenye matendo sio kwa porojo za majukwaani.Ccm wamepata nafasi zote mbili na hali iko hivi ilivyo kwahiyo usitegemee wanauwezo tena wakujitoa hapo walipo.
 
Kama Kuna mtanzani anaweza poteza mda wake kumsikiliza HUYU chizi atakua niwaajabu kuriko chizi mwenyewe sele kampoteza 20 pacent yapaswa tumpuuze
Hivi mdude au Lema kama huyu ni chizi wao tiwaiteje?
 
Reactions: Tui
Hivi huyo afande Sele mlimchunguza alipokuwa anaongea maneno hayo alikuwa mzima kiakili au alikuwa amelanduka na mibangi?
 
Sure jamaa kaongea ukweli Tatizo la vyama vya Upinzani ni kujiona wako parfect sana ukiwakosoa wanakuita CCM
Hatuwezi kubadili mfumo Kwa aina hii ya upinzani.... Kuna muda nawaza kama Hawa jamaa sio matawi ya chama tawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…