The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Kwa uzoefu wanaovuta kiasi wanakuwa smart sana .ila hawa wasanii huitumia kufanyia ubunifu duniani wasanii wengi wa vinyago,wamitindo ,wachoraji huamini inauwezo wa ubunifu ndo maana bongo 97% huvuta .na nusu ya wanasiasaHii inaitwa point blank!, Cha Arusha, hakiongopi!.
P
Ila ikifikia extreme levels ndo hii