Afande sele awashambulia Sugu na G solo kwamba ni masnitch na kwamba Sugu alihongwa million 60 na Ruge

duh

nchi ya viwanda hii. mara nandy, mara kinyaiya, mara sugu kulipiwa kodi
 
Hilo povu litapandisha hadi milima ya uluguru
 
Huyu Jamaa anamatatizo gani?
Juzi anatukanana na followers wake huko Instagram leo tena hivo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…