Afande sele awashambulia Sugu na G solo kwamba ni masnitch na kwamba Sugu alihongwa million 60 na Ruge

Afande sele awashambulia Sugu na G solo kwamba ni masnitch na kwamba Sugu alihongwa million 60 na Ruge

Punguza hasira Raskaat wewe,kuna kina mponjoli waliomsaidia sugu kukushinda wapo kimya what kind of rasta asiye kuwa na busara ndiyo maana P Funk alikuzaba makofi.
 
Punguza hasira Raskaat wewe,kuna kina mponjoli waliomsaidia sugu kukushinda wapo kimya what kind of rasta asiye kuwa na busara ndiyo maana P Funk alikuzaba makofi.

Ndio, P Funk alimlalimlamba makofi akabaki anajichekesha tu.
 
Mgambo Sele ana frustration za maisha kwa sasa, tumuacheni hana jipya zaidi ya kula tu ndum.
 
SUGU ni snitch kwani hilo halijulikani? au kisa Mbunge wa Mbeya na Mwana Chadema? SUGU aliwahi waambia ilikuaje akaitosa ANTI-VIRUS kipindi ambacho wanapigania wote maslahi ya wasanii toka CMG!?.. Kuna watu ni Bendera Fata Upepo humu, mnamshambulia Afande Selle bila jua anachoongea ni Ukweli au Uongo, au kisa Kahamia CCM na alipotea kwenye Game ndio basi hakuwahi kuienjoy Supremacy?.
Watu hupenda sikia kile wanachofikiri!.
 
2004 Sugu alikuwa majalala au alikuwa anamlipia kodi kwa mapenzi? Ngumu kumeza. Ninavyojua, way back mwaka 2001 Sugu alikuwa anawachangia washkaji nauli wasafiri. Au Sugu yupi anayesema Afande Sele?

na isitoshe sugu alikuwa mtu wa kwenda sana marekani alikuwa anarud na bit kali tu
 
duh

nchi ya viwanda hii. mara nandy, mara kinyaiya, mara sugu kulipiwa kodi

Hawa unaowasema wala hawahusiki na viwanda wala nini, ni wababaishaji ambao jamii isiyojitambua inawaona kuwa ni ma celebrities. Watu wanasema siku zote hapa Tanzania HAKUNA true celebrities ila kuna vichaa tu na Malaya kwenye tasnia ya film na music wa fleva.
 
kuna kitu kina msumbua Sele, hua anahisi ana influence flan kwenye jamii kitu ambacho anajidanganya , angetulia tu ajenge maisha japo azeeke vzuri maana ujana ndo huo kasha uchezea akikosea na hapa ndo bac tena ata rithisha umasikini kwa kizazi chake
 
"Wakati wahuni tuna hasira zetu kibao"

Wewe Baba mtu mzima tayari una familia wakati mwingine unashauri kuwa uhuni hauna maana na kuwaasa vijana ila leo unajisifia UHUNI wako.

Kweli dishi lako lishayumba.
 
2004 Sugu alikuwa majalala au alikuwa anamlipia kodi kwa mapenzi? Ngumu kumeza. Ninavyojua, way back mwaka 2001 Sugu alikuwa anawachangia washkaji nauli wasafiri. Au Sugu yupi anayesema Afande Sele?
Hadi sauti yake ya kwanza alishirikishwa na Sugu

Niko mikononi mwa polisi maisha yangu bado ni mikosi...afande....
Daah sijui nilikua darasa la nne enzi hizo
Sugu ni bonge la opportunistic alishinda tuzo ambayo hai exist tena akapata kichwa akawa anashinda misufini morogoro anavuta bange
 
Back
Top Bottom