Afande sele awashambulia Sugu na G solo kwamba ni masnitch na kwamba Sugu alihongwa million 60 na Ruge

Afande sele awashambulia Sugu na G solo kwamba ni masnitch na kwamba Sugu alihongwa million 60 na Ruge

Kumjadili jinga na vuta bangi ni kupoteza muda
 
Sele kwenye ubora wake
Tufanye haraka kumpeleka hospitali,yale majani anayovutaga hayajawahi kumuacha mtu salama,
tapatalk_1524017676603.jpeg
 
Naota na weweseka
Natupa shuka nashtuka
Naskia sugu akiniita,akilalamika
Nauliza vipi sugu?
Anazidi kulalamika
Mziki bongo haulipi mwanangu mi nang'atuka
Mwili unakosa nguvu,nahisi kama naanguka
Maana bila sugu halipo nsingefika

Mtu na pesa hiyo,sijui kama nimepatia
Sana tu mku
 
Noma na nusu huko facebookView attachment 746409
sidhani Kama kweli, mie nadhani ni hasira tu. Wakati harakati zimepamba moto, mimi kwa masikio yangu nilimsikia sugu tena wakiwa wote ktk kipindi cha the crouz cha John dilinga East Africa Radio, mwaka 2001, akisema kwa sasa nguvu nyingi nimeelekeza kwa mwanangu Afande sele ili nae asimame. wakati huo wakiutambulisha wimbo wa Afande sele wa wachakupiga mayowe.
 
Anataka aandikwe gazetini hakuna lolote
 
Alikuwa msanii ila sio maarufu Sana kama
kama afande sele, G solo pia ni mshkaji wake na sugu mpaka leo, naye Alikuwa kwenye movement ya Antivirus
Pia alikuwa mmiliki wa Kamakawa Records iliyomtoa producer mahiri Marco Chali
 
sio kubwa kivile nisehemu flani tu yakuchilax ...kuna mahema ...ukitaka kulala unalala ...na alipokamatwa afande akawekwa lokapu sababu ilikuwa ndo iyo ile baa ilifungiwa kuwa sio sehemu salama ya watu kupata urabu na kulala wakalala hapo. sasa baada yakuamia ccm ndipo walipo ifungua iyo baa.
Hahaa!!! Ipo sehemu gani moro
 
Back
Top Bottom