Afande sele awashambulia Sugu na G solo kwamba ni masnitch na kwamba Sugu alihongwa million 60 na Ruge

Uyu na wehu wachache ndio wanasababisha wavuta bangi tuonekane hatuna maana kabisa.

[emoji23][emoji23] Afande kachanganya mafaili naona yaani yeye ndio kamlipa kodi ya nyumba Sugu.
 
Hakuna S, Bila O
L Bila O, Mwingine aitwe Thang Bila Solo
Shupavu awajibike Kama Apollo
J Afande ni Ukuta, Wapi Chochoro

Mtazamo Bonge la Wimbo Afande Sele&Solo Thang
 
CCM ni janga kudadeki
Yaani watu smart wakienda huko wanaturn demons [emoji26][emoji26]
Yaani ajabu kabisa aisee...
Naamini hata mbwa akiingia huko anaweza kabisa kubisha kama yeye ni mbwa
 
Uyu na wehu wachache ndio wanasababisha wavuta bangi tuonekane hatuna maana kabisa.

[emoji23][emoji23] Afande kachanganya mafaili naona yaani yeye ndio kamlipa kodi ya nyumba Sugu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmh! Kwamba afande alikuwa anamlipia kodi sugu? Sijui lakini, labda....huenda....ila mmh! Haimezeki kirahisi hii
Halafu anazungumzia mil 60 ya Sugu. Unaweza kuwa na michongo ya kupata mil 60 halafu ukalipiwa kodi?
 
We afande bora unyoe kipara unatuabisha sisi marasta ...maana kila siku unaongea ujinga ...siunajua jinsi ..gani sisi marasta tumekupigania wewe afande uoni mpaka baa yako yako ya Pepon tulivyokuombea msamaha tukakutoa lokapu ...mshamba sana wewe Afande ulivyotolewa lokapu ukaona unaweza pelekwa jela ukanyolewa kipara sasa ndo ukaamua kuamia ccm...unazngua wewe afande ...mm najua kinacho kuzengua sio bangi ila niushamba wako wakunywa bia za ofa.

sasa tutaacha kuja kwenye baa yako ya peponi ukiendelea na uzuzu wako huu.
 
Mwambie aende mlimani kwake akavute bangi kwanza, akili yake ndio itakaa sawa sawa
 
We afande bora unyoe kipara unatuabisha sisi marasta ...maana kila siku unaongea ujinga ...siunajua jinsi ..gani sisi marasta tumekupigania wewe afande uoni mpaka baa yako yako ya Pepon tulivyokuombea msamaha tukakutoa lokapu ...mshamba sana wewe Afande ulivyotolewa lokapu ukaona unaweza pelekwa jela ukanyolewa kipara sasa ndo ukaamua kuamia ccm...unazngua wewe afande ...mm najua kinacho kuzengua sio bangi ila niushamba wako wakunywa bia za ofa.

sasa tutaacha kuja kwenye baa yako ya peponi ukiendelea na uzuzu wako huu.

Hivi hiyo baa ya peponi ni kubwa sana au
 
sio kubwa kivile nisehemu flani tu yakuchilax ...kuna mahema ...ukitaka kulala unalala ...na alipokamatwa afande akawekwa lokapu sababu ilikuwa ndo iyo ile baa ilifungiwa kuwa sio sehemu salama ya watu kupata urabu na kulala wakalala hapo. sasa baada yakuamia ccm ndipo walipo ifungua iyo baa.
 
Back
Top Bottom