SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,364
- 2,001
Kweli, nimesoma michango mingi naona ni uccm wa Sele na uchadema wa Sugu basi... wajinga sana hawa wachangiaji wafata mkumbo..SUGU ni snitch kwani hilo halijulikani? au kisa Mbunge wa Mbeya na Mwana Chadema? SUGU aliwahi waambia ilikuaje akaitosa ANTI-VIRUS kipindi ambacho wanapigania wote maslahi ya wasanii toka CMG!?.. Kuna watu ni Bendera Fata Upepo humu, mnamshambulia Afande Selle bila jua anachoongea ni Ukweli au Uongo, au kisa Kahamia CCM na alipotea kwenye Game ndio basi hakuwahi kuienjoy Supremacy?.
Watu hupenda sikia kile wanachofikiri!.