Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ndo anakaribia kuanza safari hivo!Tangu asema eti akifa mwili wake uchomwe moto naona anamatatiko yanayo msumbua k
;bange;Mbona kama alieshambuliwa humo ni G sollo pekee?
Anyway... Kwani chanzo cha hayo yote ni nini?
Punguza hasira Raskaat wewe,kuna kina mponjoli waliomsaidia sugu kukushinda wapo kimya what kind of rasta asiye kuwa na busara ndiyo maana P Funk alikuzaba makofi.
Hahahaaaa nimecheka kwa sautiChupi kama ya nandy...
2004 Sugu alikuwa majalala au alikuwa anamlipia kodi kwa mapenzi? Ngumu kumeza. Ninavyojua, way back mwaka 2001 Sugu alikuwa anawachangia washkaji nauli wasafiri. Au Sugu yupi anayesema Afande Sele?
duh
nchi ya viwanda hii. mara nandy, mara kinyaiya, mara sugu kulipiwa kodi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]CCM ni janga kudadeki
Yaani watu smart wakienda huko wanaturn demons [emoji26][emoji26]
Kinyaiya amezingua nini tena?duh
nchi ya viwanda hii. mara nandy, mara kinyaiya, mara sugu kulipiwa kodi
Hadi sauti yake ya kwanza alishirikishwa na Sugu2004 Sugu alikuwa majalala au alikuwa anamlipia kodi kwa mapenzi? Ngumu kumeza. Ninavyojua, way back mwaka 2001 Sugu alikuwa anawachangia washkaji nauli wasafiri. Au Sugu yupi anayesema Afande Sele?
Alikuwa anavutia bangi studio huyu mshenziNdio, P Funk alimlalimlamba makofi akabaki anajichekesha tu.