Afande Sele: Clouds hawawezi shindana tena na Wasafi

Afande atoleee ufafanuzi kwanza zile tuhuma za kuhongwa taji la mfalme wa Rhymes kina Profesa Jay, Soggy, Solo Thang walilamikia sana hii issue

Amezungumzia pia Issues za Movement kama Antivirus, asidhani tumesahau kama aliwahi kuwatosa Antivirus dakika mwisho kabisa, kuna Show ya Antivirus na Clouds na zote zilikuwa zinafanyika siku moja Afande yeye alikuwa Antivirus lakini dakika za mwisho baada ya Clouds kupanda dau akahamia Clouds, Mwambie kumbukumbu zote tunazo
 
Watz tunaongoza kwa unafki mkuu.
 
Mwengine naye huyu hapa,moja ya wasanii wakali wa RnB Rama Dee ,ametoa yake ya moyoni ya kuwa msitengeneze mastaa masikini wenye majina makubwa kwani mnawazalilisha.
 
Sasa siku zote zile unacheka nao mbona hukuwaambia, kumbe jide pekee ndiye jasiri.
 
Nakubaliana na baadhi ya mawazo yake ila hapo kwenye ukanda nadhani ni concedence tu, Adamu na Twangala wameingia kila Mtu kivyake, Dina Marius pia ametokea Arusha kama sijakosea.

Hivi Kusaga au Ruge wangekuwa wanatoka kaskazini ingekuwaje? si wangeogopa hata kuajiri hao Vijana?
 
Afande atoleee ufafanuzi kwanza zile tuhuma za kuhongwa taji la mfalme wa Rhymes kina Profesa Jay, Soggy, Solo Thang walilamikia sana hii issue

Amezungumzia pia Issues za Movement kama Antivirus, asidhani tumesahau kama aliwahi kuwatosa Antivirus dakika mwisho kabisa, kuna Show ya Antivirus na Clouds na zote zilikuwa zinafanyika siku moja Afande yeye alikuwa Antivirus lakini dakika za mwisho baada ya Clouds kupanda dau akahamia Clouds, Mwambie kumbukumbu zote tunazo
Leo ni Wasafi wamepanda dau.
 
maskini ruge anaumwa anaongezewa ugonjwa... sasa ni zamu ya wale wafanyakaI kijipromo wenyewe kwa kutumia strategy mpya ....
 
In Love and Money Tour vs Pepsi Wasafi festival..msifananishe na vitu vya maana
 
Clouds kupotea baada ya Ruge kuumwa ni yaleyale ya kumtegemea mtu badala ya taasisi.

Some bullshit wanaifanya wasafi, swala zima limebebwa na mtu siyo taasisi.

Ila pia kama Kusaga ndiyo mshikadau mkubwa hii inaweza kua ni hela nyingine tu itakayoingia Clouds, Kisa ujinga wa waTz wa kuendekeza chuki na unafiki.
 
Bdozen,Mchomvu,Mamy Baby,Wote chuganians na hako ni kamfano kadogo tu kwenye xxl,sijui Keneddy ni wawapi ila nae ana kamuonekano ka kanda ile ile
Acha uongo Mamy kwao Tabora huko!
 
Yaani Wabongo hapa ndio huwa nachoka kabisa!
mtu hata sehemu ambayo yeye mwenyewe Binafsi amefeli anatafuta mtu wa kumlaumu na bla bla kibao!
 
Bdozen,Mchomvu,Mamy Baby,Wote chuganians na hako ni kamfano kadogo tu kwenye xxl,sijui Keneddy ni wawapi ila nae ana kamuonekano ka kanda ile ile
Kenedy nimesoma nae tuition pale st Jose Moshi. Yule ni wa moshi na kasoma mawenzi sec
 
Afande atoleee ufafanuzi kwanza zile tuhuma za kuhongwa taji la mfalme wa Rhymes kina Profesa Jay, Soggy, Solo Thang walilamikia sana hii issue

Amezungumzia pia Issues za Movement kama Antivirus, asidhani tumesahau kama aliwahi kuwatosa Antivirus dakika mwisho kabisa, kuna Show ya Antivirus na Clouds na zote zilikuwa zinafanyika siku moja Afande yeye alikuwa Antivirus lakini dakika za mwisho baada ya Clouds kupanda dau akahamia Clouds, Mwambie kumbukumbu zote tunazo
Afande mnafiki sana
 
Afande ameongea ukweli halisi.binafsi hakuna msanii anyeniumiza roho kama bele 9.pamoja na jamaa kujituma kote kule kimuziki, hajawahi pata tuzo hata moja ya KLM, na ni msanii mzuri mwenye vocal nzuri na mashairi mazuri.
 
Back
Top Bottom