Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa maji huyo anaamini amekwama kwasababu ya Clouds
Clouds kupotea baada ya Ruge kuumwa ni yaleyale ya kumtegemea mtu badala ya taasisi.
Some bullshit wanaifanya wasafi, swala zima limebebwa na mtu siyo taasisi.
Ila pia kama Kusaga ndiyo mshikadau mkubwa hii inaweza kua ni hela nyingine tu itakayoingia Clouds, Kisa ujinga wa waTz wa kuendekeza chuki na unafiki.
Wewe ni mlemavu?Hahaha mnatapatapa na maneno ya mangekimavi
Msikilize kwa makini Afande akielezea tathmini yake kuhusu show ya Wasafi vs Fiesta.
Pia kuna jambo la ukabila na ukanda amelizungumzia kama tuhuma kwa Clouds.
Anasema jinsi figisu za Clouds zilivyoua tunzo za Kili Awards ndio namna hiyo kwa namna hiyo Fiesta inaenda kupotea na Wasafi Festival ku-take over.
Naunga mkono hoja ingawa sio concern yangu yy kupata au kukosa tuzo maana hayo ni binafsi zaid.Afande ameongea ukweli halisi.binafsi hakuna msanii anyeniumiza roho kama bele 9.pamoja na jamaa kujituma kote kule kimuziki, hajawahi pata tuzo hata moja ya KLM, na ni msanii mzuri mwenye vocal nzuri na mashairi mazuri.
Afande atoleee ufafanuzi kwanza zile tuhuma za kuhongwa taji la mfalme wa Rhymes kina Profesa Jay, Soggy, Solo Thang walilamikia sana hii issue
Amezungumzia pia Issues za Movement kama Antivirus, asidhani tumesahau kama aliwahi kuwatosa Antivirus dakika mwisho kabisa, kuna Show ya Antivirus na Clouds na zote zilikuwa zinafanyika siku moja Afande yeye alikuwa Antivirus lakini dakika za mwisho baada ya Clouds kupanda dau akahamia Clouds, Mwambie kumbukumbu zote tunazo
Kichwa maji huyo anaamini amekwama kwasababu ya Clouds
Umesahau na mwazo yake yenye kamchanganyiko wa ule mmeahuo ni mtazamo wake
kiss fmWengi wamekwama kwa sabab ya clouds
Nani anasikilza kiss fm au uhuru na radio free cku iz...watangazaji wakali wenyew wanakimbilia clouds...hizo radio zote kwa clouds wanasubiri sana.kiss fm
times fm
radio one
radio free africa
uhuru fm
tbc fm
Efm
EA radio
Yani pamoja na radio zote nilizotaja hapo juu mtu asipofanya vizuri bado anawasingizia Clouds Fm???
Hujui kwamba redio nyingine zinafuata mkumbo wa Clouds? Yaani msanii akifanya vizuri clouds na wao wanapita humohumokiss fm
times fm
radio one
radio free africa
uhuru fm
tbc fm
Efm
EA radio
Yani pamoja na radio zote nilizotaja hapo juu mtu asipofanya vizuri bado anawasingizia Clouds Fm???
💪 ulinziunafanyanin uko mkuu[emoji15]