Watz tunaongoza kwa unafki mkuu.Afande atoleee ufafanuzi kwanza zile tuhuma za kuhongwa taji la mfalme wa Rhymes kina Profesa Jay, Soggy, Solo Thang walilamikia sana hii issue
Amezungumzia pia Issues za Movement kama Antivirus, asidhani tumesahau kama aliwahi kuwatosa Antivirus dakika mwisho kabisa, kuna Show ya Antivirus na Clouds na zote zilikuwa zinafanyika siku moja Afande yeye alikuwa Antivirus lakini dakika za mwisho baada ya Clouds kupanda dau akahamia Clouds, Mwambie kumbukumbu zote tunazo
mkuu nipo nyuma yakoNafunga belt seat number 1
Mimi nawapenda wote bila kujali mapungufu yao.
Leo ni Wasafi wamepanda dau.Afande atoleee ufafanuzi kwanza zile tuhuma za kuhongwa taji la mfalme wa Rhymes kina Profesa Jay, Soggy, Solo Thang walilamikia sana hii issue
Amezungumzia pia Issues za Movement kama Antivirus, asidhani tumesahau kama aliwahi kuwatosa Antivirus dakika mwisho kabisa, kuna Show ya Antivirus na Clouds na zote zilikuwa zinafanyika siku moja Afande yeye alikuwa Antivirus lakini dakika za mwisho baada ya Clouds kupanda dau akahamia Clouds, Mwambie kumbukumbu zote tunazo
Wote ni waarusha labda ukimtoa mamy baby ndo mnyamwezi wa TaboraBdozen,Mchomvu,Mamy Baby,Wote chuganians na hako ni kamfano kadogo tu kwenye xxl,sijui Keneddy ni wawapi ila nae ana kamuonekano ka kanda ile ile
Acha uongo Mamy kwao Tabora huko!Bdozen,Mchomvu,Mamy Baby,Wote chuganians na hako ni kamfano kadogo tu kwenye xxl,sijui Keneddy ni wawapi ila nae ana kamuonekano ka kanda ile ile
Jamaa huwa ni mtu makini sanaLicha ya usahihi wa anachokiongea, jamaa anajua kujenga hoja.
Kenedy nimesoma nae tuition pale st Jose Moshi. Yule ni wa moshi na kasoma mawenzi secBdozen,Mchomvu,Mamy Baby,Wote chuganians na hako ni kamfano kadogo tu kwenye xxl,sijui Keneddy ni wawapi ila nae ana kamuonekano ka kanda ile ile
Afande mnafiki sanaAfande atoleee ufafanuzi kwanza zile tuhuma za kuhongwa taji la mfalme wa Rhymes kina Profesa Jay, Soggy, Solo Thang walilamikia sana hii issue