Afande Sele: Clouds hawawezi shindana tena na Wasafi

Sele ni Snich sana...... Tangu enzi za Geto boiz, watupori, antvirus, chadema, Act na sasa Ccm...... Anaubinafsi anaangaliA apate chake tu, shombo zote izo ni ili nae apate shavu ila ndo ivo hana bahat hiyo
 
Hahaha mnatapatapa na maneno ya mangekimavi
 
Eti'Fiesta inapita kama ushuzi mwanafunzi anajamba hewa inapita darasani wanacheka kwisha
 
Afande ameongea ukweli halisi.binafsi hakuna msanii anyeniumiza roho kama bele 9.pamoja na jamaa kujituma kote kule kimuziki, hajawahi pata tuzo hata moja ya KLM, na ni msanii mzuri mwenye vocal nzuri na mashairi mazuri.
Naunga mkono hoja ingawa sio concern yangu yy kupata au kukosa tuzo maana hayo ni binafsi zaid.
Kinachoniuma kuhus bele9 ni kwann hajapata recognition anayo deserve kutokana na jitahada , ubu ifu na uwezo alionao kwenye muziki??
Nini tatizo..nahis hili ndio limemkatisha tamaa jamaa hawiki tena
 
Ukisema hivyo mbona hata sugu alikuja kujitoa na kuwaacha watu km wagosi wa kaya na mapacha, dani msimamo, rama dee wakiwa hawaha uelekeo wowote...tuseme afande aliona mbali mapemaaaa akajikataa
 
kiss fm
times fm
radio one
radio free africa
uhuru fm
tbc fm
Efm
EA radio

Yani pamoja na radio zote nilizotaja hapo juu mtu asipofanya vizuri bado anawasingizia Clouds Fm???
Nani anasikilza kiss fm au uhuru na radio free cku iz...watangazaji wakali wenyew wanakimbilia clouds...hizo radio zote kwa clouds wanasubiri sana.
 
kiss fm
times fm
radio one
radio free africa
uhuru fm
tbc fm
Efm
EA radio

Yani pamoja na radio zote nilizotaja hapo juu mtu asipofanya vizuri bado anawasingizia Clouds Fm???
Hujui kwamba redio nyingine zinafuata mkumbo wa Clouds? Yaani msanii akifanya vizuri clouds na wao wanapita humohumo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…