AFANDE SELE FT. BWANA SAM - MTU NA PESA.

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
images-50.jpg
images-49.jpg
AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA

Verse ..1 ( afande sele)

Mtu na pesa hakuna mwanadamu asie jua maana ya pesa/ hata mwanangu Tunda hi leo ana ijua pesa/ tangu ana miezi tisa (9)/ maana kila kukicha anacheki inavyonitesa/ baba ake nateseka / mchana kutwa mbilika na usiku ni batashika/ naota ndoto za pesa mpaka nawewezeka/ mara natupa shuka nashtuka/ naota sugu ana niita kwa nguvu akilalamika/ nauliza vip..? Sugu anazindi kulalamika/ ana waka mchizi ana sikitika/ muziki Bongo haulipi mwanangu mi nang'atuka/ du..!! mi nashtuka mwili una tetemeka/ miguu inakosa nguvu na hisi kama na Ang'uka / kwa vile bila sugu hapa nilipo nise ngefika/ na kama ningefika ingenipindi nisubiri miaka/ ni kashindwa kumjibu zaidi ya kusema swadata/ tatizo ma promota na Ma radio presenter wachache sasa wana fuata/ fani wana bolonga top ten (10) za kupanga/ yani hawajali Ubora hata kazi ndizo wanapiga/ nyimbo za ujinga ujinga ndio kila muda wana twanga/ bila kujali ujumbe ili mradi umekata panga/ na kama hauna kitu basi utakoma kulinga/ hili mimi nalipinga japo kwangu afadhali vipi wasanii wachanga/ mbele wataweza songa Dhubutu..!!/ kama mwendo ndo huu milele hawata simama/ kama hawata simama basi na Rap itazama/yote Sababu ya pesa wazimu/ pesa haina nidhamu/ looh..!! Wala pesa so haramu/ Achinjwe binadam na pesa ibakazwe tamu / watu wataifuta kisha watai tumia/ wata nunulia misahafu na bibilia / na waumini wataipokea...

Chorus. ( Bwana sam)

Watu nazo pesa .../
Watu nazo pesa.../
Wewe zina kutesa../
Mimi zina nitesa/
Pesa...

Watu nazo pesa .../
Watu nazo pesa.../
Wewe zina kutesa../
Mimi zina nitesa/
Pesa...

Verse..2 ( afande sele)

Kweli pesa ni tamu sana / ni tamu kwa kila namna/ na kijana aki kamata wata muita Bwana/ dingi aki kamata anaonekana ni kijana/ Eeeh..!! Mi nakumbuka mwaka jana / nilipokuwa na dem kipenzi cha moyo wangu/ kumbe kuna mu dingi ni sawa Babu yangu/ na Yenye ana mtaka siku ya siku ikafika / mimi nikiji amini mtoto kwangu ndio amefika/ ninacho subiri mwaka mambo yawe safi nimuweke ndani ni mu dhibiti/ kumbe yule mu dingi kaenda front / kaenda kwa wazaze wake kamwaga sana manoti/ wote wakanisaliti wazazi na mpaka binti/ japo kuwa walijua na mpango wa kumuoa na barua nili shatoa / eeh na kwanza mimi sikujua mu ndigi alie mwaga pochi Hapa nchini ana kazi gani/ ndipo nilipania kumfikisha mahakamani/ siku nilipojua ili nipindi nijifanye bwege/ Ninge enda mahakama wange ni ngeuka wanifunge/ kumbe dingi mbunge badala ya kututetea ana tutesa tu wayonge/ kaninyanganya donge mdomoni kwa posho mfululizo anazopata huko mbungeni/ sina roho ya kwanini..? Na nyinyi wabunge hapa nchini na wala sina wivu bado najipa moyo/

Chorus. ( Bwana sam)

Watu nazo pesa .../
Watu nazo pesa.../
Wewe zina kutesa../
Mimi zina nitesa/
Pesa...

Watu nazo pesa .../
Watu nazo pesa.../
Wewe zina kutesa../
Mimi zina nitesa/
Pesa...

Msanii suleimani msindi a.k.a afande sele kupitia wimbo huu wa pesa aliomshirikisha msanii mwezake Mr Sam alijaribu kutumia sanaa yake ya uimbaji kufikisha ujumbe kwa jamii juu ya nguvu ya pesa katika maisha yetu ya kila siku katika jamii zetu..

Katika ubeti wa pili " Verse" afande sele amejaribu kutueleza ni namna gani pesa ilivyo na nguvu katika mahusiano ama pesa ndio chanzo kikubwa cha mahusiano mengi sana katika jamii zetu kuvunjika kwaajili/ kwa sababu ya pesa. Hasa kwa wale watu ambao wana vipato vya chini " masikini"

"Eeeh..!! Mi nakumbuka mwaka jana / nilipokuwa na dem kipenzi cha moyo wangu/ kumbe kuna mu dingi ni sawa Babu yangu/ na Yenye ana mtaka siku ya siku ikafika / mimi nikiji amini mtoto kwangu ndio amefika/ ninacho subiri mwaka mambo yawe safi nimuweke ndani ni mu dhibiti/ kumbe yule mu dingi kaenda front / kaenda kwa wazaze wake kamwaga sana manoti/ wote wakanisaliti wazazi na mpaka binti/ japo kuwa walijua na mpango wa kumuoa na barua nili shatoa / eeh na kwanza mimi sikujua mu ndigi alie mwaga pochi Hapa nchini ana kazi gani/ ndipo nilipania kumfikisha mahakamani/ siku nilipojua ili nipindi nijifanye bwege/ Ninge enda mahakama wange ni ngeuka wanifunge/ kumbe dingi mbunge badala ya kututetea ana tutesa tu wayonge/ kaninyanganya donge mdomoni kwa posho mfululizo anazopata huko mbungeni/ sina roho ya kwanini..? Na nyinyi wabunge hapa nchini na wala sina wivu bado najipa moyo/"

Katika wimbo huu anatueleza kuwa alinyanganywa kipenzi cha moyo wake " mpenzi wake" na kigongo mmoja serikalini kwa sababu tu ya nguvu ya pesa toka kwa kiongozi huyo ( mbunge)
Vitendo kama hivi vipo na vinaeeendelea kutokea katika jamii zetu..

Lakini pia afande sele katika ubeti huo huo wa pili " verse..2" anatueleza pesa ilivyo na nguvu hata kwenye masuala ya ki dini ( Imani) tunaona makanisa na misikiti inavyo vunjika sababu ya pesa lakini vilevile misikiti na makanisa inazarisha manabii wa waongo wengi sababu ya pesa..

"Pesa haina nidhamu/ looh..!! Wala pesa so haramu/ Achinjwe binadam na pesa ibakazwe tamu / watu wataifuta kisha watai tumia/ wata nunulia misahafu na bibilia "

Lakini pia vipaji vingi katika taifa hili Tanzania vinateketea kwa maana vijana wengi wana shindwa kupewa nafasi ya kuonyesha talent zao sababu ya pesa ..
Maana Radio & tv prisenters na Radio & tv owners wao Mara zote wana angalia zaidi pesa kuliko kipaji halisi . In short hawapewi sport wasanii wachanga kwa sababu hawana pesa..

"tatizo ma promota na Ma radio presenter wachache sasa wana fuata/ fani wana bolonga top ten (10) za kupanga/ yani hawajali Ubora hata kazi ndizo wanapiga/ nyimbo za ujinga ujinga ndio kila muda wana twanga/ bila kujali ujumbe ili mradi umekata panga/ na kama hauna kitu basi utakoma kulinga/ hili mimi nalipinga japo kwangu afadhali vipi wasanii wachanga/ mbele wataweza songa Dhubutu..!!/ kama mwendo ndo huu milele hawata simama/ kama hawata simama basi na Rap itazama/yote Sababu ya pesa wazimu"

Ila katika Ubeti wa kwanza " verse..1" ana mshukuru sana mh joseph mbilinyi a.k.a sugu maana ndio alie pokea afande sele kwenye Game ya hip hip nchini Tanzania enzi hizo afande sele akiwa bado under Ground huko mji kasoro bahari morogoro.

"Naota sugu ana niita kwa nguvu akilalamika/ nauliza vip..? Sugu anazindi kulalamika/ ana waka mchizi ana sikitika/ muziki Bongo haulipi mwanangu mi nang'atuka/ du..!! mi nashtuka mwili una tetemeka/ miguu inakosa nguvu na hisi kama na Ang'uka / kwa vile bila sugu hapa nilipo nise ngefika/ na kama ningefika ingenipindi nisubiri miaka/ ni kashindwa kumjibu zaidi ya kusema swadata
..

Huki ndio kipindi ambacho mh sugu ali safari sana kwenda nje ya mipaka ya Tanzania kutangaza ama kuing'arisha bendera ya taifa hili Tanzania 🇹🇿 kwenye upande wa sanaa ya Buruduni " muziki aina ya Rap"

Hizi ni sehemu ya Project za mwanzo alizofanya afande sele pale tu alipo pokelewa na sugu..
Kwenye Game ya muziki wa Hip Hop.

1. Afande sele ft mh sugu - afande asema wote kimya
2. Sugu ft afande sele - niki ang'uka
3. Sugu ft Mr paul & afande sele - asante Mungu
4. Sugu ft dola soul balozi & afande sele - Asalamlekum
5. Afande sele ft mh sugu & balozi - kama kawaida

Ingawa hapa katikati joseph mbilinyi a.k.a Mr 2 na suleimani msindi a.k.a afande sele kulikuwepo na sintofahamu iliyopelekea ukaribu wa wakongwe hawa katika game ya Bongo fleva hasa kwenye muziki wa Rap/ hip hop Enzi hizo na mpaka sasa kuvunjika kwa Sababu ya pesa..

Endeleaaa kufuatiliaaaa page yetu ya
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202

#funguka
 
View attachment 3181643View attachment 3181644AFANDE SELE FT BWANA SAM - MTU NA PESA

Attachments

Huu wimbo afande aliutendea haki, mashairi yake hayachuji na tena aliimba katika sauti fulani tulivu sana.
 
Back
Top Bottom