Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,072
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu akiwa mbunge atakuwa anapanda pale mbele kwa spika anavua nguo anabaki na chupi lake jeusi lile
View attachment 245410
Hii ni kauli ya Msanii na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, ndugu Afande Sele (MB. Mtarajiwa). Afande ametoa kauli hiyo na kuongeza kwamba hatokuwa na budi kunyoa rasta na kubadili mwonekano wake endapo atalazimika kufanya hivyo!
Habari na iwafikie..
Hapa sioni cha ajabu
ni vinyonga wapo humuhumu na hadi ifike October utaona wengi wageni lakini wenyeji