Afande Sele: Nikipata Ubunge nitanyoa Rasta

Afande Sele: Nikipata Ubunge nitanyoa Rasta

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,072
a.sele.png

Hii ni kauli ya Msanii na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, ndugu Afande Sele (MB. Mtarajiwa). Afande ametoa kauli hiyo na kuongeza kwamba hatokuwa na budi kunyoa rasta na kubadili mwonekano wake endapo atalazimika kufanya hivyo!

Habari na iwafikie..
 
Yaani kwa kweli kuna mtu mmoja kwenye hii nchi(pande za msoga) ameifanya siasa ionekane ya kibwege sana!
 
View attachment 245410

Hii ni kauli ya Msanii na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, ndugu Afande Sele (MB. Mtarajiwa). Afande ametoa kauli hiyo na kuongeza kwamba hatokuwa na budi kunyoa rasta na kubadili mwonekano wake endapo atalazimika kufanya hivyo!

Habari na iwafikie..

  • MemberArray

    Join Date : 11th April 2015
    Posts : 17
    Rep Power : 305
    Likes Received14
    Likes Given24

Mimi ni shabiki mkubwa wa Afande Selle "Simba dume" lakini kuingia bungeni ni ndoto...
 
Back
Top Bottom