Afande Sele: Nikipata Ubunge nitanyoa Rasta

Kama kuwa na dreads kulimpa umaarufu na heshima aliyonayo sasa, haoni kuwa kunyoa itampunguzia heshima hiyo anayotaka kuitumia kuombea ubunge????

Huyu jamaa anaonekana ni "galasa" ni upofu wa watanzania na kiu kubwa ya kupata viongozi.
 
Sisa bhana tutaona weng msimu huu coz naona umaharufu ndo unao wapeleka huko na c vingine
 
Nilimuona katika Tv jana akihutubia mkutanoni, jinsi alivyokuwa amepangilia maneno akijieleza kidogo niingie chini ya meza kwa aibu. Jamani jamani kweli tumefika huko? Huruma yetu...
 
Hapati ubunge wowote, labda akagombee ubunge Garrissa
 
Wananchi wanaahidiwa mbunge kunyoa nywele hahahahaaaa tutaona mengi mwaka huu!
 
Mvuta bangi mwenzake sio mshabiki, akili ziko kwenye manywele yao
 
Hizo ni ndoto za mchana..mbunge gani alivua nguo hadharani???
 

Kuna uhusiano gani kati ya kufuga rasta na ubunge?
 
Nahitaji kiwa muangalifu sana kuchangia kuhusu hiki chama maana nakula ban kila siku kwa ajili ya zambarau
 
Anyoe za nini, abaki hivyo hivyo ili mradi ziwe safi tu;
 
Nani atampa wakati hata ukweli kwake hawamtaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…