stanlthecreator
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 1,947
- 648
Afande sele karibu Bungeni,october hiyoooo mjengoni,I know u can
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jani je? Ataendelea kulipuliza?
![]()
Mbona Sugu bado anapuliza jani kama kawa na hamsemi..??
Hapati ubunge wowote, labda akagombee ubunge Garrissa
Mbona unawadharau sana wakenya? nitajie hata mbuge 1 tu wa kenya ambae kilaza au hana elimu ya maana!
Huyu akiwa mbunge atakuwa anapanda pale mbele kwa spika anavua nguo anabaki na chupi lake jeusi lile
View attachment 245410
Hii ni kauli ya Msanii na Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini, ndugu Afande Sele (MB. Mtarajiwa). Afande ametoa kauli hiyo na kuongeza kwamba hatokuwa na budi kunyoa rasta na kubadili mwonekano wake endapo atalazimika kufanya hivyo!
Habari na iwafikie..