figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Babu ngoma haijaisha hii mambo yakiendelea hivi basi utaanza kuona suicide ama mass murder kwenye maeneo ya umma. Better now than neverWaliouliwa ndugu zao tar 29 kwahiyo wamemuachia Mungu?
Umewaza kama mtu mwenye akili japo waliowengi hawataki kuambiwa ukweli. Hivi wameshasoma chanzo cha watu kujitoa suicide? Au kwanini Haiti au Sudan ya Al Bashir imekuwa vile?Babu ngoma haijaisha hii mambo yakiendelea hivi basi utaanza kuona suicide ama mass murder kwenye maeneo ya umma. Better now than never
Huyu mjamaa ndiye aliyemtukana MUNGU matusi ya nguoni kwa kifo cha Magufuli au nasahau !!!
Wamemuachia Mama Rais, na tume zao.Waliouliwa ndugu zao tar 29 kwahiyo wamemuachia Mungu?
Nini hiki umeandikaAfande sele siku za karibuni amekuwa anapata tabu sana ya kuwashwa kiboga. Sijui dawa yake ni nini?!!!!
Kama haamini katika mungu unaye muamini wewe unataka kumlazimisha !?Huyu mjamaa ndiye aliyemtukana MUNGU matusi ya nguoni kwa kifo cha Magufuli au nasahau !!!
Kama haamini katika mungu unaye muamini wewe unataka kumlazimisha !?
Wapi nimeandika nataka kumlazimisha aamini juu ya MUNGU.Kama haamini katika mungu unaye muamini wewe unataka kumlazimisha !?
Sijui kama Afande anajua tofauti ya maneno "amani" na "utulivu"Msanii wa Bongo Fleva Selemani Msindi(Afande Sele), amesema Tarehe 7/7/2026 kulikuwa na Utulivu sio amani.
Amesisitiza watu wapewe kilichofanya watake kuandamana.
Kasema wanaingiziwa Posho na Mishahara ndo Wanasema kulikuwa na amani. Lakini wanaotegemea miguu ili kula wanasema kulikuwa na Utulivu.
Kasema tusitamani yaliyotokea tarehe 07. 07.2026 yajirudie tena..
View attachment 3624801
Kwani wewe ulivyowashwa kiboga ulitibiwa kwa dawa gani?Afande sele siku za karibuni amekuwa anapata tabu sana ya kuwashwa kiboga. Sijui dawa yake ni nini?!!!!