Afande Sele: Tozo zimekuwa nyingi na hazionekani zinafanya kazi gani

Afande Sele: Tozo zimekuwa nyingi na hazionekani zinafanya kazi gani

Mwigulu anatakiwa kutuambia tozo anazokusanya kila mwezi ni shilingi ngapi na zinapelekwa kwenye matumizi, yapi ili tupime matumizi ya tozo tunazokatwa kama yanaendana na thamani ya hizo pesa, anavyokaa kimya maana yake anatuibia.
Atasema tu kama akiulizwa.
 
Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika

Sasa izi zahanati nazo ni maendeleo Yani ichi yenye uhuru miaka 70 sasa bado unaongelea zahanati Mzee wangu? Tunataka miradi yenye faida iishe ili waache kutukata tozo pesa zipatikane huko kwenye miradi mikubwa na wanetu wapate ajira. Think big
 
M

Miradi haiwezi kuachwa kujengwa maana watu tunaongezeka kila siku hivyo hata Mahitaji nayo yanaongezeka, jiulize hata hapo ulipo Kama idadi ya watu katika Sensa ya mwaka 1967 itakuwa sawa na hii ya 2022 au hata Ile ya 2012, hivyo zahanatia au vituo vya Afya, shule, huduma za maji na umeme vinaendelea kusambazwa kila siku na kila mwaka
 
Lini mishahara ilichelewa awamu ya 5? Nani alieanzisha kulipa mishahara trh 22 ya kila mwezi?

Kwanini msitafute namna nzuri tu ya kujitetea na tozo zenu kuliko hizi mfanyazo??
Wamala go mlaunu. 😂
 
Dhambi nyingine ziepukeni! Hivi si humu humu watu walikuwa wanalalamika hadi mishahara inachelewa? Acheni unafk muende mbinguni,tozo mbaya ndio lakin kwangu ccm ni ile ile hakuna cha magu wala nn? Narudia acha unafk!
Wapi mshahara ulikuwa unachelewa? Jamaa alikuwa anatoa tarehe 24 tu.
 
Akili kubwa sana.

TOZO sawa lakini tuone miradi pesa zetu zinapoendea. Na mtu wakutueleza na kutuonyesha mradi huu zimetokana na pesa fulani. Magu alikuwa anatuonyesha kwa vitendo na tukibanwa kwenye tozo tunaridhika.

Nakumbuka kipindi cha Magu pesa mtaani kuanzia tarehe 20 hadi mwisho wa mwezi pesa mtaani zilikuwa zinaonekana ila huyu hatari 27 week end pesa hamna mtaani. Mzunguko wa pesa mtaani hamna,kama kungekuwa na miradi tungeziona pesa mtaani.
CCM oyeeeeeeeeeeeeeee
 
Sasa izi zahanati nazo ni maendeleo Yani ichi yenye uhuru miaka 70 sasa bado unaongelea zahanati Mzee wangu? Tunataka miradi yenye faida iishe ili waache kutukata tozo pesa zipatikane huko kwenye miradi mikubwa na wanetu wapate ajira. Think big
Kakopa pesa IMF kujenga zahanati na tundu za choo.

Karne hii kujenga tundu za choo unajisifu maendeleo.
 
Vituo vilikuwepo kabla ya tozo na vitaendelea kuwepo. Huwezi ku justify matumizi ya toZO kwa kusingizia madarasa na zahanati wakati at the same time wanakopa matrillioni kwa kazi hio hio.

Swala ni moja tozo ni hela za umma na hazichanganyiki na kodi. Waseme ni kiasi gani kila mwezi na kimefanyia kitu gani.
Kwani Afande sele havioni vituo vya Afya, zahanati, shule na huduma za maji na umeme vikijengwa ,kuboreshwa na kusambaza kila kukicha, mbona hata huku niliko Mimi naendelea kuona huduma karibu yangu huku wananchi wakiendelea kufurahia na kuridhishwa na namna fedha zilivyotumika, au yeye yupo wapi huko ambako haoni namna mh Rais alivyofanya kazi kubwa katika ujenzi wa miradi mbalimbali iliyosaidia pia kutoa ajira kwa vijana hasa wa maeneo husika
 
Ujinga sana huu,mkuu anasema wale kwa urefu wa kamba zao,hiyo kauli ilibidi isitoke kinywani mwake,tuhurumiwe jamani,maisha magumu sana,TAMISEMI wametutema,SENSA wametutema,koneksheni zinatamalaki,mitaji ndiyo hivyo,halafu kinachouma zaidi ni waliobahatika kuingia kwenye system wanavyozidi kuzitafuna hela,sisi ambao toka miaka ya 2016,tuko mtaani,ajira Hanna,inatuuma sana,basi tu.
[emoji24][emoji24][emoji24] umeongea kwa uchunguu..na nikwelii
 
Akili kubwa sana.

TOZO sawa lakini tuone miradi pesa zetu zinapoendea. Na mtu wakutueleza na kutuonyesha mradi huu zimetokana na pesa fulani. Magu alikuwa anatuonyesha kwa vitendo na tukibanwa kwenye tozo tunaridhika.

Nakumbuka kipindi cha Magu pesa mtaani kuanzia tarehe 20 hadi mwisho wa mwezi pesa mtaani zilikuwa zinaonekana ila huyu hatari 27 week end pesa hamna mtaani. Mzunguko wa pesa mtaani hamna,kama kungekuwa na miradi tungeziona pesa mtaani.
Kwani hujasikia tumemuongeza Muajentina kabla ya dirisha la usajili kufungwa?

Tangu nchi hii ipate uhuru wake ulishasikia tumesajili raia kutoka nchi aliyozaliwa Diego Maradona na Lionel Messi!! Haya ndiyo matumizi yake sasa!!

Au Nasema Uongo Ndugu Zangu?
 
hao ni wapuuz ndio maana kule kenya alipoenda kumpigia kampen odinga walimpuuza maana walimuona ni mpuuz
Mkuu atakuaje ni mpuuzi wakati kalipwa 100M kwa show yake Moja tu na mpaka akadishiwa private jet ya kumleta na kumrudisha Wewe una huo ujasiri wa kukataa hiyo hela? Tusiwe lawama wasanii wakati hiyo ndio kula yao kwani naongea uongo mrangi
 
Back
Top Bottom