Afande Sele tushike lipi sasa mbona unatuchanganya?

Afande Sele tushike lipi sasa mbona unatuchanganya?

Scars

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Posts
48,055
Reaction score
116,512
Screenshot_20230823-113952.png
 
Mzee wa each one teach one unapiga kampeni za kuikataa Marekani at the same time we ndio umekuwa kama balozi wao wa kuioneshea dunia kuwa Tanzania hatuwezi bila Marekani
Tumsamehe, alikuwa kwenye harakati za kutibu minyoo ya njaa tumboni.

Kwani hujamwona Mrisho Mpoto naye anavaa viatu siku hizi licha ya kuvikataa hapo awali 😅
 
Tumsamehe, alikuwa kwenye harakati za kutibu minyoo ya njaa tumboni.

Kwani hujamwona Mrisho Mpoto naye anavaa viatu siku hizi licha ya kuvikataa hapo awali 😅
Aisee dunia ingekuwa bored sana kama Tanzania ingekosekana

Ni nchi ambayo hata kuwe na dhiki gani ila kila siku lazima raia wake watapata chakucheka tu.
 
Mzee wa each one teach one unapiga kampeni za kuikataa Marekani at the same time we ndio umekuwa kama balozi wao wa kuioneshea dunia kuwa Tanzania hatuwezi bila Marekani
Ukishashikishwa kibunda hapo mradi watoto waende chooni harakati zako za kibaguzi na mengineyo weka pembeni lasivyo watoto watakufa njaa familia inakutegemea unategema nini bora uwe balozi upige hela mengine yatajulikana mbele kwa mbele?

Soon atabarisha kauli kwamba akifa anaomba asichomwe Moto, usije ukashangaa ni km Akemediese Principle tu
 
Aisee dunia ingekuwa bored sana kama Tanzania ingekosekana

Ni nchi ambayo hata kuwe na dhiki gani ila kila siku lazima raia wake watapata chakucheka tu.
Wanasema ukiona Mbwa anabweka basi hujampatia fupa, ukimpatia tu hutaona anabweka tena.

Sisi ndiyo Watanzania 😅
 
Na ubalozi wa MAREKANI, walijua tu, waksema huo wimbo wala hata usingiwe uachwe watu wasikilize watumie akili wenyewe.

Sasa hivi wanalitembeza lia Afande bange kulionesha lilivyo NJAAAAA
Mnafki sana

Marasta wala hawapo vile
 
Back
Top Bottom