Afande Sele tushike lipi sasa mbona unatuchanganya?

Afande Sele tushike lipi sasa mbona unatuchanganya?

Katisha sana,kama muvi,ndo ipo katikati.
 
Serikali inakimbilia kununua mavxr sahvi ya kumwaga,wanashindwa shulikia masuala ya choo [emoji1]
Kweli tz tuna shida kubwa

Ova
Pengine unawaza labda washuke malaika kutu ongoza!

Ndio maana hata wakoloni walitumia viboko na mijeledi kuwa ongoza waafrika.
 
Njaa mbaya sana vipi, kalamba ubarozi, wakipata wengine ubarozi njaa hawana?
 
Mzee wa each one teach one unapiga kampeni za kuikataa Marekani at the same time we ndio umekuwa kama balozi wao wa kuioneshea dunia kuwa Tanzania hatuwezi bila Marekani
Sasa huyu akishavuta michicha yake hata rais atasema hamjui,kesho utamwona anampigia kampeni huyohuyo aliyesema hamjui,keshokutwa atakwambia haishi Tanzania.

Mtondogoo atakwambia yuko pale Moro kijiji tulivu anakula upepo.

Keshokutwa atasema ye ana muamini mungu wake ras.

Akirudi atakwambia Mungu ndo anayemlinda.

Yaani huyo ni upepo unafatana na majani aliyovuta siku hiyo yalikua mabichi.

Au yamekomaa sana.
 
Aisee dunia ingekuwa bored sana kama Tanzania ingekosekana

Ni nchi ambayo hata kuwe na dhiki gani ila kila siku lazima raia wake watapata chakucheka tu.
Watanzania ni tafsiri ya UMALAIKA.
 
Back
Top Bottom