Afande Sele: Wanangu, nikifa mnichome moto

Joined
Jun 18, 2019
Posts
22
Reaction score
34
_
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Afande Sele amewataka watoto wake kwamba akifariki wahakikishe anachomwa moto.
Afande Sele amewataka watoto wake wasimamie hilo kwa kuwa hiyo ni zawadi ambayo anaona itamfaa kutokana na malezi kwa watoto wake hao.
_
Kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa kijamii ameadika “Kila wakati nikipata nafasi ya kuongea na hawa binti zangu wawili huwa nawakumbusha kwamba yote ninayowatendea chini ya jua ni wajibu wangu na ni haki yao lakini kitu pekee kikubwa kwangu wanachoweza kunilipa ni wao kuhakikisha kuwa siku yangu ya mwisho ikifika wasiruhusu kivyovyote mwili wangu kuzikwa/kufukiwa udongoni bali zawadi iliyobora kwangu watakayopaswa kunipa ni kuhakikisha mwili wangu unateketezwa kwa Moto na kubakia majivu ambayo ndio watayazika ardhini na kubakia kama alama ya pale nilipo lala mimi ule usingizi mzito na usiokua na ndoto…’maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua’….usifosi tufanane.,” na wasipo fanya hivyo atapita Morogoro yote nyumba hadi nyumba akiwalaani wakazi wote wa huko.
_
Afande Sele awali aliwahi kutoa taarifa ya kutaka asizikwe na achomwe moto huku akidai hana dini hivyo hataki ahusishwe na dini yoyote.

#sourcefb
 
Bangi aka ngada!! Anazan akichomwa moto mwili ukawa majivu Mungu hana uwezo wa kumfufua na aka azibiwa kwa yale aliyo kua akiyatendaa!??? Bin adam ni hataree!!
_
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Afande Sele amewataka watoto wake kwamba akifariki wahakikishe anachochwa moto.
Afande Sele amewata watoto wake wasimamie hilo kwa kuwa hiyo ni zawadi ambayo anaona itamfaa kutokana na malezi kwa watoto wake hao.

Mwili ukishakufa ndio basi hakuna story ya mwili tena ni mchwa wauserebukie mafuta yabaki ardhini baada ya karne kadhaa watu waje wajipatie mafuta au gesi asilia😂😂😂

Kitakacho fufuliwa ni roho na sio mwili.
Siku hizi cremation dili sana mamake
 
Ukiona hivi ujue bange imegota haifanyi tena kazi ni wakutafutia ulevi unaoanzia pale bange ilipokomea ili kumtoa lock aweze kujitambua.
 
_
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Afande Sele amewataka watoto wake kwamba akifariki wahakikishe anachochwa moto.
Afande Sele amewata watoto wake wasimamie hilo kwa kuwa hiyo ni zawadi ambayo anaona itamfaa kutokana na malezi kwa watoto wake hao.
_
Kupitia akaunti yake kwenye mtandao wa kijamii ameadika “Kila wakati nikipata nafasi ya kuongea na hawa binti zangu wawili huwa nawakumbusha kwamba yote ninayowatendea chini ya jua ni wajibu wangu na ni haki yao lakini kitu pekee kikubwa kwangu wanachoweza kunilipa ni wao kuhakikisha kuwa siku yangu ya mwisho ikifika wasiruhusu kivyovyote mwili wangu kuzikwa/kufukiwa udongoni bali zawadi iliyobora kwangu watakayopaswa kunipa ni kuhakikisha mwili wangu unateketezwa kwa Moto na kubakia majivu ambayo ndio watayazika ardhini na kubakia kama alama ya pale nilipo lala mimi ule usingizi mzito na usiokua na ndoto…’maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua’….usifosi tufanane.,” na wasipo fanya hivyo atapita Morogoro yote nyumba hadi nyumba akiwalaani wakazi wote wa huko.
_
Afande Sele awali aliwahi kutoa taarifa ya kutaka asizikwe na achomwe moto huku akidai hana dini hivyo hataki ahusishwe na dini yoyote.

#sourcefb
Alipaswa kutoa mwongozo kuwa achomweje kwakuwa hata hao wanaochoma kama mabudha, wahindu nk wana dini zao... Na kuna ibada maalum ya mazishi ya kuwachoma marehemu wao.... Nimefanya sana hii kazi
Wasio na dini miili yao hufukiwa ama kutupwa porini iwe chakula cha wanyama....
Asitafute kiki wala kuwapa watoto mzigo wa mawazo
Ana uhakika gani atakufa yeye kabla ya wao
Ana hakika gani atakufa kifo cha maiti yake kupatikana?

Mwisho kama yuko serious anitafute tufunge mkataba nimpe na proforma invoice ya shughuli yote... Nitaifanya hiyo kazi kwa uaminifu na weledi mkubwa
 
Vyovyote vile bora unaijua hata hilo kwamba ipo siku tutasimama mbele za Mola wetu mlezi na kuesabiwa tuliyo ya tenda hapa duniani "no escape turn for dat boss u want u don't want u 'll face it"
Mwili ukishakufa ndio basi hakuna story ya mwili tena ni mchwa wauserebukie mafuta yabaki ardhini baada ya karne kadhaa watu waje wajipatie mafuta au gesi asilia[emoji23][emoji23][emoji23]

Kitakacho fufuliwa ni roho na sio mwili.
Siku hizi cremation dili sana mamake
 
Vyovyote vile bora unaijua hata hilo kwamba ipo siku tutasimama mbele za Mola wetu mlezi na kuesabiwa tuliyo ya tenda hapa duniani "no escape turn for dat boss u want u don't want u 'll face it"
Na ma_Buddhism, hindu na wazee wa N.korea hawa vipi?
 
Back
Top Bottom