Justin Dimee
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,146
- 248
Ni wiki ilio pita nili sikiliza radio nika sikia uowimbo
unafafanua kuwa watz. Tusivuruge amani yetu kwa ajili ya udini.
Anasema ukristu kauleta mjerumani na uslamu kauleta mwarabu kipindi icho cha ukoloni na kabla ya ukoloni mababu zetu walikua na imani zao tofauti na za sasa nawalikua wakiomba kwa mungu na walikua wakijibiwa.
Namuelewa sana uyo msanii kioo cha jamii man seleman.
Sasa ukiusikiliza wimbo mtaaelewa kua dini zimekuja tu tena na melii.
Afande seleman ametisha.

Dini ni njia ya wakoloni ya kuwatawala mazezeta...
Dini ni uongo unaoelekea kupitwa na wakati...
Shtuka
Afande anajua kuweka wazi jaman ili pini lake ukilielewa kweli hakuna aja ya kwenda kanisani.
Kuna swali ali uliza vp kama tungetawaliwa na wa china tz wote si tunge kuwa mabudah.?
Afande kweli ni king selee
We unatafuta tuu justifications za kutokwenda church na kufanya maovu, we fanya hivyo tuu lkn ujue mwisho wa siku kuna kihama na wala hata sio mbali, bz hayo tuu uliyaandika hapo juu ni kati ya dalili.