Afande seleman. Na wimbo wake . Dini zimeletwaa.

Justin Dimee

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,146
Reaction score
248
Ni wiki ilio pita nili sikiliza radio nika sikia uowimbo
unafafanua kuwa watz. Tusivuruge amani yetu kwa ajili ya udini.
Anasema ukristu kauleta mjerumani na uslamu kauleta mwarabu kipindi icho cha ukoloni na kabla ya ukoloni mababu zetu walikua na imani zao tofauti na za sasa nawalikua wakiomba kwa mungu na walikua wakijibiwa.
Namuelewa sana uyo msanii kioo cha jamii man seleman.
Sasa ukiusikiliza wimbo mtaaelewa kua dini zimekuja tu tena na melii.
Afande seleman ametisha.
 
Dini ni njia ya wakoloni ya kuwatawala mazezeta...
Dini ni uongo unaoelekea kupitwa na wakati...

Shtuka
 
hilo na mimi ndo msimamo wangu, namuunga mkono hawa watu ni fujo tu walituletea.
 
Mmeanza kumsifia pro Chadema bwana kazi mnayo.
 
Afande anajua kuweka wazi jaman ili pini lake ukilielewa kweli hakuna aja ya kwenda kanisani.
Kuna swali ali uliza vp kama tungetawaliwa na wa china tz wote si tunge kuwa mabudah.?
Afande kweli ni king selee
 
Ni ukweli justi dimee dini ni mapokezi tu hakuna kingine nilishawahi kusema alichoimba afande sele kwenye maoni ya gazeti la raia mwema tungetawaliwa na wachina tungekuwa mabudah kinachoendelea kwenye dini ni utumwa wa kimawazo tu hakuna kingine, sisi waafrika tuna tamaduni zetu hakuna anayefuata hizo.
 
So naizi bible+kuruani?
Ni man make kumbeeh.
So watakua ni hao wakoloni walio kuja na meli ndo wamezileta.
 
Ni wiki ilio pita nili sikiliza radio nika sikia uowimbo
unafafanua kuwa watz. Tusivuruge amani yetu kwa ajili ya udini.
Anasema ukristu kauleta mjerumani na uslamu kauleta mwarabu kipindi icho cha ukoloni na kabla ya ukoloni mababu zetu walikua na imani zao tofauti na za sasa nawalikua wakiomba kwa mungu na walikua wakijibiwa.
Namuelewa sana uyo msanii kioo cha jamii man seleman.
Sasa ukiusikiliza wimbo mtaaelewa kua dini zimekuja tu tena na melii.
Afande seleman ametisha.

Kama unao tuwekee
 
Afande anajua kuweka wazi jaman ili pini lake ukilielewa kweli hakuna aja ya kwenda kanisani.
Kuna swali ali uliza vp kama tungetawaliwa na wa china tz wote si tunge kuwa mabudah.?
Afande kweli ni king selee

We unatafuta tuu justifications za kutokwenda church na kufanya maovu, we fanya hivyo tuu lkn ujue mwisho wa siku kuna kihama na wala hata sio mbali, bz hayo tuu uliyaandika hapo juu ni kati ya dalili.
 
So na ma babu zetu walio kua wakisalia chini ya mtii na kutoa kafara za kondo wao wote wataenda motoni au ni vp nikua kila kukicha vitu vinaongezeka kutokana na genaration zilizoko kuwepo msije kushanga iyo dini yamashetani /fm inakuja kuwa dini halali? Kwasabu vyote naona ni man made tu.
Kwani zama za zamini kulikua kunaivi naje waliishje mbona walikua tu vizuri
yeah mungu yupo kweli but sio kwa aya madini mtu unaingia kansan unakuta muhubiri ana dislike wenzake
na msikitin ndo unakuta kabisa ana muita mkiristu kafiri kweli jamani iyo ni dini au ni uhasama tu na miji chuki yakupandikizwa kwa imani.?
 
We unatafuta tuu justifications za kutokwenda church na kufanya maovu, we fanya hivyo tuu lkn ujue mwisho wa siku kuna kihama na wala hata sio mbali, bz hayo tuu uliyaandika hapo juu ni kati ya dalili.

mi kanisani naenda but sina imani nako sadaka mara 3 kila jumapili. Duh sasa kwanini wasitembele hammer wa chungaji uko.
Naweka sadaka mfukoni nampaa omba omba wa mtaani nipate thwawabu. Kwa mungu?
Kanisan sadaka zote izo jaman na mwisho wana sisitiza sana mtoe sadaka. Ahaahaaaggrr.
Kweli dini n biashara.
Na imani ndo zimefungiwa.uku.
 
Back
Top Bottom