Afande Sirro, ukimuona Lissu kama unavyomuona Magufuli kuwa wote ni wagombea Urais, basi utakuwa na amani na Lissu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.

Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu Hassan anasalimia, basi potezea Lissu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lissu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!

Kazi yako itakuwa rahisi.
 
Tatizo anamuona Lissu katika sura ya mhalifu anayetafutwa kwa kesi zake! Sirro hana sababu ya kumuita Lissu ili wote tusikie na tumuone mkorofi, Lissu angeweza kuitwa kwa faragha kama mgombea. Sirro tumekuona ukimkemea Lissu! Ili kumshusha hadhi yake ya ugombea!.
 
Magufuli bado raisi huwezi mlinganisha na Lissu kusimama kwingine anasimama kama rais
 
Lissu anavunja sheria kwa makusudi. Tuambie wapi Magufuli amevunja sheria? Kwahiyo hapa suala siyo kuwa treated vizuri, ni mtu anatakiwa afuate sheria.
 
Sirro asijisahau sana , Omary Mahita aliyekuwa IGP wa Tanzania na ambaye rekodi yake ya Ukatiri bado haijavunjwa , baada ya kustaafu aliburuzwa mahakamani kwa tuhuma za aibu za kumjaza mimba house girl wa nyumbani kwake mwenyewe na kuruka matunzo ya mtoto , ccm aliyoipigania haikuwahi kumuokoa na fedheha hiyo ,bado tungali tunachunguza kama alimbaka huyo binti baada ya kumtishia kwa silaha au kama walikubaliana

Baada ya aibu hii Mahita alijaribu kuwahadaa Waislam wa Morogoro kwa kujenga msikiti , lakini Waislam wanaoswali kwenye msikiti huo haramu hawazidi watano , hii ni baada ya waislam wa Morogoro kukataa kutumika kumtakatisha Mahita mbele za Allah kwa "ubakaji" wake , Mungu wabariki watukufu waislam wa Morogoro
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…