Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tusingejua kuwa yuko huu ya Lissu, hilo tu.Si angempigia Simu tu kama alivyompigia mbowe
Kavunja sheria ipi?Lissu anavunja sheria kwa makusudi. Tuambie wapi magufuli amevunja sheria. Kwahiyo hapa suala siyo kuwa treated vizuri, ni mtu anatakiwa afuate sheria.
Mkuu umeandika vizuri, IGP mpaka Sasa amejitahidi Sana hata kauli yake ya leo sawa ,ila amejitahidi,huyu mzee anapitia kipindi kiguma ambacho wamekipitia IGP wengine ambao sidhani Kama wapo, ila ivyo binafsi nasema mungu aendelee kumpa hekima ,na akiona vipi basi amuachie mtu mwingine apambane na Hali yake ,vyeo vipo ila mbele ya Safari raha ya moyo mtulivu ,usiokua na stress au hata Kama huna pesa ni flaha tosha ,naongea kwa kifupi ila nikiwa na maana pana mkuuJitahidi kum- treat Lisu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lisu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.
Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lisu anaposalimia. Kama Suluhu Hasan anasalimia, basi potezea Lisu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lisu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!
Kazi yako itakuwa rahisi.
Magufuli ni mgombea urais ndugu rais huwa hagombei urais.Magufuli bado raisi huwezi mlinganisha na Lisu kusimama kwingine anasimama kama raisi
Najua unaweza kuwa na akilj zaidi ya hizi.Magufuli bado raisi huwezi mlinganisha na Lisu kusimama kwingine anasimama kama raisi
Kuna tofauti kubwa kati ya...Jitahidi kum- treat Lisu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lisu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.
Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lisu anaposalimia. Kama Suluhu Hasan anasalimia, basi potezea Lisu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lisu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!
Kazi yako itakuwa rahisi.
Well saidJitahidi kum- treat Lisu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lisu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.
Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lisu anaposalimia. Kama Suluhu Hasan anasalimia, basi potezea Lisu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lisu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!
Kazi yako itakuwa rahisi.
Aisee na wewe unaona umetoa hoja ile mbaya aisee hii nchi hawa ndo wapiga kura wa Jamuhuri ya Muuangano wa Tanzania AiseeKuna tofauti kubwa kati ya...
Mgombea Urais na Rais
Mropokaji na Mtendaji
HGL, HKL na PCM
Mpenda sifa na Mtu asie jikweza.
Sasa tafuta ujue Lissu yupo kundi gani.
Mtu kasoma HGL anataka kutusumbua sisi. Hebu muambieni Urais sio kubwabwaja tu. Yeye amefanyia jimbo lake nini mpaka leo tumuamini kuwa Rais. Kila siku ana lazimisha kuwa nilazima awe Rais kwani hizo kura anajipigia mwenyewe au yeye ni Mungu mpaka alazimishe watu kuwa yeye ndie Rais iwe isiwe.
Mkumbusheni wanaopiga kura na kuamua ni Watanzania so ASITUFOKEE.
Bado ninatafuta mahali ambapo Lissu amenadi wa BUNGE na MADIWANI wa chama chake akiwa kwenye mikutano yake.
Hapa ndio ninafikia na kuona kuwa huyu mtu hayupo serious kabisa ana umimi mwingi sana ndio maana sioni sera zake zikiwa na mashiko zaidi ya kutuonyesha Ungwini wake tu.
Watanzania hatutaki sheria..... Sheria ibakie kwako na ndugu zako sisi tunataka KIONGOZI anae toa sera zinazotekelezeka.
Si angempigia Simu tu kama alivyompigia mbowe
Alipoamuwa kukabidhi kichwa chake pale Lumumba ndo akaanza kutenda hayo. Siro halisi mwenye kichwa chake ni yule wa Mwanza enzi hizooo. Huwa anazo busara akiwa ni yeye.Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.
Kama Magufuli anasalimia, basi potezea na Lissu anaposalimia. Kama Suluhu Hassan anasalimia, basi potezea Lissu / Mwalimu wanaposalimia. Muda mwingine mchukulie Lissu katika mazingira ya bahati mbaya, mfano kama jana alivyokuta watu wamemsubiri Moshi akawaomba watawanyike na wakatawanyika! ichukulie kama , ni un avoidable circumstace ambayo unazipotezea as long as he is not the initiator of that mischief!
Kazi yako itakuwa rahisi.
Magufuli bado raisi huwezi mlinganisha na Lisu kusimama kwingine anasimama kama raisi
Rais anayegombea urais!Kuna tofauti kubwa kati ya...
Mgombea Urais na Rais
Mropokaji na Mtendaji
HGL, HKL na PCM
Mpenda sifa na Mtu asie jikweza.
Sasa tafuta ujue Lissu yupo kundi gani.
Mtu kasoma HGL anataka kutusumbua sisi. Hebu muambieni Urais sio kubwabwaja tu. Yeye amefanyia jimbo lake nini mpaka leo tumuamini kuwa Rais. Kila siku ana lazimisha kuwa nilazima awe Rais kwani hizo kura anajipigia mwenyewe au yeye ni Mungu mpaka alazimishe watu kuwa yeye ndie Rais iwe isiwe.
Mkumbusheni wanaopiga kura na kuamua ni Watanzania so ASITUFOKEE.
Bado ninatafuta mahali ambapo Lissu amenadi wa BUNGE na MADIWANI wa chama chake akiwa kwenye mikutano yake.
Hapa ndio ninafikia na kuona kuwa huyu mtu hayupo serious kabisa ana umimi mwingi sana ndio maana sioni sera zake zikiwa na mashiko zaidi ya kutuonyesha Ungwini wake tu.
Watanzania hatutaki sheria..... Sheria ibakie kwako na ndugu zako sisi tunataka KIONGOZI anae toa sera zinazotekelezeka.
Akili ndogo Sana hiziMagufuli bado raisi huwezi mlinganisha na Lisu kusimama kwingine anasimama kama raisi
1. Akiwa Buchosa alitangaza tender ya barabara kinyume cha maadili ya uchaguzi.Lissu anavunja sheria kwa makusudi. Tuambie wapi magufuli amevunja sheria. Kwahiyo hapa suala siyo kuwa treated vizuri, ni mtu anatakiwa afuate sheria.
Jamaa ubongo wake uko makalioniKama ni rais mbona anagombea urais? Unaweza kugombea cheo ulichonacho?
Tutajie sasa na wewe sheria anazovunja Lissu.Lissu anavunja sheria kwa makusudi. Tuambie wapi magufuli amevunja sheria. Kwahiyo hapa suala siyo kuwa treated vizuri, ni mtu anatakiwa afuate sheria.
Kwani hukumsikia Afande Sirro alichosema? Mbona kaeleza makosa yote ya LissuTutajie sasa na wewe sheria anazovunja Lissu.
Jitahidi kum- treat Lissu kama unavyo m-treat Magufuli, wala hakutakuwa na hoja ya kunyanyuana na Lissu. Lakini ukimuona kama mtu aliye duni kuliko Magufuli, basi hutaweza kutenda haki kwa wote na shida itaanzia hapo.