Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dawa n kwenda kumroga huyo mwanajeshi.Ila hawa jamaa hawa dahView attachment 2075614
Hawa jamaa hua wanajiona kama sheria haziwahusu vile,naomba mamlaka zimshughulikie Barabara!Wanajeshi tunawachekea sana. Kuna watu unakuta wanakaa wanasifia hivi vitendo vyao vya kishenzi.
Kuna kipindi mtaani kuna vijana waliwaibia ikawa wazunguka mtaani wakikuta kijana yeyote ni kumpiga aidha ni mkazi au mpita njia wao wanaona hii nchi ni yao pekee.Hawa jamaa hua wanajiona kama sheria haziwahusu vile,naomba mamlaka zimshughulikie Barabara!
Utawafanya nini sasa?!!! Omba usiingie anga zao!Wanajeshi tunawachekea sana. Kuna watu unakuta wanakaa wanasifia hivi vitendo vyao vya kishenzi.
Juzi walikaribia kumtesa mtu mmoja asiyekuwa na hatia pale makongo.Wanajeshi tunawachekea sana. Kuna watu unakuta wanakaa wanasifia hivi vitendo vyao vya kishenzi.
Ni muda sahihi sasa wa Jamii kuanza kutotukuza uovu wao na kuwachukulia ni kama wavunjasheria wengine tujamii nzima inawaogopa hawa watu ujue