Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Afariki baada ya kudaiwa kulishwa saruji na askari wa JWTZ

Kuna kipindi mtaani kuna vijana waliwaibia ikawa wazunguka mtaani wakikuta kijana yeyote ni kumpiga aidha ni mkazi au mpita njia wao wanaona hii nchi ni yao pekee.
wanakujaga na lori zima wao ni kutembeza kichapo tu dah
 
Juzi walikaribia kumtesa mtu mmoja asiyekuwa na hatia pale makongo.
Jamaa alikuwa anatokea mwenge. Alipofika pale Getini VTC lugalo akakaomba msaada askari mmoja mlevi naye akamuita ndani wakaanza kumpiga
Ati wanamuuliza una simu kama hii halafu u makosa nauli?
Pumbavu sana hawa
[emoji1787][emoji1787]yan hawa jamaa dah sijui hii kitu itaisha lini yan unaweza ukawa huna kosa kabisa ila sasa ukipita hapo kambini kwao utakutwa na kosa tu kama traffic vile akikusimamisha hakosi kosa hata kwenye zile kambi zao za makazi mfano ile ya Kigambon kule nilienda kumchek jamaa yangu yaan bila ya yeye kutokea washaanza kunigeuza nyama
 
tusiwafundishe tu ukakamavu na mbinu za kivita hawa wanajeshi wetu huko makambini...

Wanapaswa pia kufundishwa namna ya kuishi na raia huku uraiani...
Sheria zetu zipewe meno makali dhidi ya watu hawa wanapofanya uonevi kwa raia..
Jeshi letu la polisi lipewe meno kwa kushirikiana na MPs yanapotokea mambo kama haya..

Ni hatari sana kuwa na askari wasio na nidhamu kama huyu mpumbavu..
 
Wapumbavu sana hawa jamaaa, wanaua raia kila mara kwa mambo ya kipuuzi. Kama mwizi kwa nini usimpeleke Polisi then kwa court.
hawa jamaa sheria wanakuwaga nayo wenyewe mikononi mwao yaan wao ndio mahakama na jaji humo humo wanafanyaga mambo ya ajabu sana
 
tusiwafundishe tu ukakamavu na mbinu za kivita hawa wanajeshi wetu huko makambini...

Wanapaswa pia kufundishwa namna ya kuishi na raia huku uraiani...
Sheria zetu zipewe meno makali dhidi ya watu hawa wanapofanya uonevi kwa raia..
Jeshi letu la polisi lipewe meno kwa kushirikiana na MPs yanapotokea mambo kama haya..

Ni hatari sana kuwa na askari wasio na nidhamu kama huyu mpumbavu..
Kwanza kabisa kazi ya kwanza ya mwanajeshi ni kulinda nchi pamoja na raia wake wote sasa huyu jamaa sijui katekeleza jukumu gani kwa huyu raia
 
Back
Top Bottom