Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito

Hivi njiti hazina shida dina?
Zina shida tena kubwa ila ni siku za usoni, hizi kansa unazozisikia na kuzisoma mojawapo ya chanzo ni njia za uzazi wa mpango.

Lakini pia kuna shida ya kushika mimba wadada wengi wanataabika na janga hili.

Take care mrembo japo najua hutumii
 
Nawewe pia umefika chuo kwa uandishi huu wa LECTURE badala ya....[emoji28][emoji28] jokes
 
Mwanamke ambae ajawahi kuua kwa kutoa mimba ndo anaweza itwa bikira
 
Zina shida tena kubwa ila ni siku za usoni, hizi kansa unazozisikia na kuzisoma mojawapo ya chanzo ni njia za uzazi wa mpango.

Lakini pia kuna shida ya kushika mimba wadada wengi wanataabika na janga hili.

Take care mrembo japo najua hutumii
Thanx my duh ..sijawahi tumia
 
#Zinaa haijawahi kumuacha mtu Salama#

Stori za hpa jf tu zinazidi kuthibitisha hilo

Wala usiikaribie zinaa kwani ni uchafu na ni njia mbaya kabisa
 
#Zinaa haijawahi kumuacha mtu Salama#

Stori za hpa jf tu zinazidi kuthibitisha hilo

Wala usiikaribie zinaa kwani ni uchafu na ni njia mbaya kabisa
Mmhhh!! Kwa kusema hivyo ina maana Watu wasipigane miti we jamaa vipi aisee!!!

Kila la mtu kivyake cha muhimu umakini
 
Umri huo kwa watoto wa kike ni hatari sana,ukiona mwanao kapita hapo mpk kafikia level ya chuo shukuru Mungu,vishawishi ni vingi sana,sasa hivi kuna boda boda,wanafunzi wenzie,mibaaazazi mijitu mizima nayo imo,ni shida kwakweli...
Inategemea na wanavyojiweka. Binti akiwa na msimamo anatisha,hasogeleki

Sent from my 2201116TG using JamiiForums mobile app
 
Hawajahukumiwa ila analaumiwa pale anapopata mimba halafu anakazana kuitoa.
 
Kwenye masomo na kulea
Je, ukiahirisha masomo na ukalea mimba (say 4 months) na mtoto mwaka 1 si utarudi shuleni kuendelea na masomo? Kwa hiyo unaUa mtu ili uendelee na masomo na uepukane na kulea? Hapana mtani wangu hiyo thikubaliani nayo kabithaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…