Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito

Afariki dunia akijaribu kutoa ujauzito

Je, ukiahirisha masomo na ukalea mimba (say 4 months) na mtoto mwaka 1 si utarudi shuleni kuendelea na masomo? Kwa hiyo unaUa mtu ili uendelee na masomo na uepukane na kulea? Hapana mtani wangu hiyo thikubaliani nayo kabithaaa
Kubeba mimba na kulea tena mimba isiyo na baba sio kazi rahisi etii
 
Imenibidi nisubiri tuzike kwanza ili machungu yaishe, Kisha nilete Uzi hapa.

Ni ndugu yangu, ki ukoo yeye ni dada yangu, lakini upande wa mama huko. Mimi niliambiwa tu huyu ni dada yako na sikutaka kujua zaidi maana ishu za ukoo zinanichanganya sana.

Tumeonana December mwishoni tulipoenda kusalimia nyumbani Tukuyu.

Haijapita hata wiki toka tumeondoka kijijini tunapigiwa simu yule dogo amefariki dunia huku chanzo ikidaiwa ni kujaribu kutoa ujauzito Kwa dawa za mitishamba zilizompelekea kutoka damu nyingi mpaka mauti yalipomkuta.

Inaelezwa kwamba alikua alihofia kufukuzwa shule alikua anaingia kidato Cha tatu januari hii.

Pia alihofia ukali wa wazazi wake kwani wangeweza mfukuza nyumbani😓

So sad, miaka 17 tumeshampoteza

Yani me nasema kabisa mambo ya kutoa mimba hapana acheni niijaze dunia utamu wa mtoto anaujua mama
Mungu asante kwa kunipa kizazi wabariki na wanaotafuta watoto.
 
Kubeba mimba na kulea tena mimba isiyo na baba sio kazi rahisi etii
Mmm! Hakujawahi duniani hapa kukawepo na mimba isiyo na baba. Sema baba mhusika anapiga chenga.
Lakini ukikomaa naye mtayajenga tu. Haikubaliki kupata ujauzito(Baraka/Neema ya mtoto) halafu uitoe(uUe). Hapana. Mtoto-mimba ni mtu binadamu kamili. Kosa lake nini hata astahili adhabu kubwa hivyo ya kifo?? Wapo wengi waliopitia hayo na wakavumilia kidogo tu kisha mambo ya shule yakaendelea tena vizuri tuu.
 
Kuna watu wanapendekeza elimu ya kujamiiana, (sexual education) ianze kufundishwa toka darasa la 3, waathirika wengi ni kati ya 13 hadi 18 - Pia watoto wadogo wa darasa la kwanza hadi nne wanaodanganywa na mabazazi kwa juice na pipi.
 
Mama yako si Ukoo wako.

UKOO ni zao lako na alipozaliwa Baba yako
Watoto wa shangazi hawana ukoo na wewe
Ndiyo nyie huoa watoto wa shangazi zenu na kuwafanya wake!

Hayo uliyoyasema, kibaiolojia yanakubalika?
Hakuna ukoo unaokuwa na upande mmoja.

Mtoto wa shangazi yako ni dadako ama kakako wa damu, ni ndugu kindaki ndaki sawa na ulozaliwa nao tumbo moja.
 
Kuna watu wanapendekeza elimu ya kujamiiana, (sexual education) ianze kufundishwa toka darasa la 3, waathirika wengi ni kati ya 13 hadi 18 - Pia watoto wadogo wa darasa la kwanza hadi nne wanaodanganywa na mabazazi kwa juice na pipi.
Kweli Elimu ni muhimu sana lakini ukiangalia umri wa waathirika (kipindi cha kuvunja ungo/balehe a.k.a Foolish age)wengi kama ulivyobaini hapo juu ni changamoto kubwa sana. Katika umri huo wengi wao huwa hawapokei maonyo au hupuuzia maonyo wapewayo kwa madai eti ww umepitwa na wakati. Wao Hudhani kwamba kwa kufanya wafanyavyo ndio kukomaa kwenyewe.
Hapa unaposema....Pia watoto wadogo wa darasa la kwanza hadi nne wanaodanganywa na mabazazi kwa juice na pipi. siafiki sana kwani katika kipindi hicho mtoto (esp.Ke) anakuwa chini ya uangalizi wa wazazi esp.mama yake mzazi. Je, inakuwaje mtoto/binti aanze mchezo huo mama usigundue? Watoto umri huo wapo wawazi sana -atakuambia "leo nimekunywa juice tamu... " au anakuja nyumbani anatafuna pipi. Mzazi lazima utake kujua kapata wapi. Siku hizi vitoto hivyo huiba fedha nyumbani na vinajua sana kusema uongo na kukataa. Wazazi/Walezi wanalo jukumu kubwa katika umri huo. Hizi habari za Haki za Watoto bila kujumuisha Wajibu wa watoto, tutafika mbali na tutakuwa tumechoka sana.
 
Mimi nilishuhudia rafiki yangu wa kike akitoa mimba miezi sita nusu afe alikiona kifo wakati anasafishwa, unaambiwa aliita ndugu zake wote so sadi pole sana tajiri yangu.
Lile chuma linavotanue K kweli chamoto lazima akione na linavokatakata ndani ,wewe sio kitoto
 
Back
Top Bottom